Kama huoni dhuluma zinazoendelea basi eitha wewe ni mpumbaf usiye akili au umetoka family very primitive na kupata kanafasi ka kufaidi utamu wa nchi hivyo kilicho nje ya mzunguko wa maisha yako binafsi hakikuhusu.Unadhungumzia dhuluma nchi gani we fisadi wa fitina. Unakaa unapumua sehemu Zote na bado unadai dhuluma. Unasafiri. Unakula. Unaj hapa JF. Nk. Punguzeni upumbavu watanzania wenzangu. Kila mtu mwanasiasa how.
Uwezo wenu wa kuyaona mambo umepungua kutokana na ushabiki maandazi mlio nao.Ila kuna watu wengine sjui wakoje,
Kuna dhuluma gani sahv
Muwe wapole mkuu.unajua sababu za cdm kumfukuza zitto? ukizijua utajua kwanini ccm inahusishwa
I totaly disagree! Siyo hivyo. Mrema, Lowassa na Membe ni watu waliotoka CCM kwa malengo yao, baada ya kuona hawawezi kutimiza malengo yao wakiwa CCM. Hili ni jambo common sana kwenye siasa za kiafrika ambazo haziongozwi na itikadi bali zinaongozwa na maslahi binafsi ya mwanasiasa. Kitu ambacho ni dhahiri ni kuwa CCM huwa inawahonga baadhi ya vyama au wagombea ili watengeneze upinzani fake . Mtu kama Mrema sasa hivi (siyo zamani hizo), Lipumba sasa hivi (siyo zamani hizo), Mbatia sasa hivi (siyo zamani hizo) wanatumiwa kwenye uchaguzi huu unaokuja. Lakini kabla ya hapo wote walikuwa ni wapinzani halisi ila walikata tamaa baada ya kupoteza mvuto au kukorofishana na viongozi wenzao kwenye upinzani.Kwa kutazama filamu ya kiuchaguzi inayoendelea hivi sasa, ninaishiwa maneno ya kuzungumza. Lakini, kwakuwa JF ni a house of great thinkers, chukueni yafuatayo ili mchanganye na zenu kuelekea Oktoba 2020:
1. Kila katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, CCM lazima 'imuondoe' kada wake mmoja kindakindaki ili ajiunge na 'upinzani'.
2. Kila kwenye uchaguzi mkuu wa vyama vingi, CCM hujitahidi kuhakikisha kuwa ina mgombea zaidi ya mmoja kwenye Urais na Ubunge ili kuzigawa kura za upinzani.
3. Kila mwaka wa uchaguzi, CCM, katika umakini na utaalamu wa hali ya juu, hukikuza chama kimoja kuwa 'tishio' cha upinzani ili kubadili upepo wa kisiasa.
4. Mrema, Lowassa na Membe wanahusika na 1 na 2 hapo juu.
5. NCCR-Mageuzi, CHADEMA na ACT-Wazalendo wanahusika na 3 hapo juu.
6. Hapa Tanzania, wapo wapinzani kweli na wapinzani 'feki'. Wapinzani feki ni wengi zaidi ya wale wa ukweli.
7. Zitto yupo kwa kazi maalum kwa manufaa ya CCM katika kila uchaguzi mkuu kuanzia 2000.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Kwa kutazama filamu ya kiuchaguzi inayoendelea hivi sasa, ninaishiwa maneno ya kuzungumza. Lakini, kwakuwa JF ni a house of great thinkers, chukueni yafuatayo ili mchanganye na zenu kuelekea Oktoba 2020:
1. Kila katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, CCM lazima 'imuondoe' kada wake mmoja kindakindaki ili ajiunge na 'upinzani'.
2. Kila kwenye uchaguzi mkuu wa vyama vingi, CCM hujitahidi kuhakikisha kuwa ina mgombea zaidi ya mmoja kwenye Urais na Ubunge ili kuzigawa kura za upinzani.
3. Kila mwaka wa uchaguzi, CCM, katika umakini na utaalamu wa hali ya juu, hukikuza chama kimoja kuwa 'tishio' cha upinzani ili kubadili upepo wa kisiasa.
4. Mrema, Lowassa na Membe wanahusika na 1 na 2 hapo juu.
5. NCCR-Mageuzi, CHADEMA na ACT-Wazalendo wanahusika na 3 hapo juu.
6. Hapa Tanzania, wapo wapinzani kweli na wapinzani 'feki'. Wapinzani feki ni wengi zaidi ya wale wa ukweli.
7. Zitto yupo kwa kazi maalum kwa manufaa ya CCM katika kila uchaguzi mkuu kuanzia 2000.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Cdm ndio ilimfukuza zitto, lawama kwa ccm. Noma sana mazee.
Kuna siku upinzani utakapoona hakuna njia na kukaa pembeni basi tusishangae JWTZ wakawa wao ndio wapinzani dhidi ya dhuluma, ubadhilifu na ufisadi.
Sasa sijui hao watakuwa wana bishania wapi hoja zao na ccm?
Kwamba ZITTO toka 2000 anafanya kazi ya ccm ktk uchaguzi na ushindi!!?[emoji1]
Makali ya maisha tuyapata wote siyo wapinzani pekee yaoKwa kutazama filamu ya kiuchaguzi inayoendelea hivi sasa, ninaishiwa maneno ya kuzungumza. Lakini, kwakuwa JF ni a house of great thinkers, chukueni yafuatayo ili mchanganye na zenu kuelekea Oktoba 2020:
1. Kila katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, CCM lazima 'imuondoe' kada wake mmoja kindakindaki ili ajiunge na 'upinzani'.
2. Kila kwenye uchaguzi mkuu wa vyama vingi, CCM hujitahidi kuhakikisha kuwa ina mgombea zaidi ya mmoja kwenye Urais na Ubunge ili kuzigawa kura za upinzani.
3. Kila mwaka wa uchaguzi, CCM, katika umakini na utaalamu wa hali ya juu, hukikuza chama kimoja kuwa 'tishio' cha upinzani ili kubadili upepo wa kisiasa.
4. Mrema, Lowassa na Membe wanahusika na 1 na 2 hapo juu.
5. NCCR-Mageuzi, CHADEMA na ACT-Wazalendo wanahusika na 3 hapo juu.
6. Hapa Tanzania, wapo wapinzani kweli na wapinzani 'feki'. Wapinzani feki ni wengi zaidi ya wale wa ukweli.
7. Zitto yupo kwa kazi maalum kwa manufaa ya CCM katika kila uchaguzi mkuu kuanzia 2000.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
Mwalimu alisema X3...wakati alikuwa DictatorHuko nyuma nilishawahi ku comment kwenye nyuzi nyingi tu kuwa 2020 CHADEMA hakitakuwa chama kikuu cha upinzani.
Pia Mwalimu alisema upinzani wa kweli utatoka CCM
Hamna lolote, Zitto hausiani na CCM, kilichowafanya mkamfukuza Zitto ni sababu alichkua fom ya kugombea uenyekiti. Pale CHADEMA Kuna supreme leader[emoji3][emoji3][emoji3] akachukia ndo akaundiwa zengweunajua sababu za cdm kumfukuza zitto? ukizijua utajua kwanini ccm inahusishwa
Kama kuna kaukweli fulani hivi!Kwa kutazama filamu ya kiuchaguzi inayoendelea hivi sasa, ninaishiwa maneno ya kuzungumza. Lakini, kwakuwa JF ni a house of great thinkers, chukueni yafuatayo ili mchanganye na zenu kuelekea Oktoba 2020:
1. Kila katika kuelekea kwenye uchaguzi mkuu, CCM lazima 'imuondoe' kada wake mmoja kindakindaki ili ajiunge na 'upinzani'.
2. Kila kwenye uchaguzi mkuu wa vyama vingi, CCM hujitahidi kuhakikisha kuwa ina mgombea zaidi ya mmoja kwenye Urais na Ubunge ili kuzigawa kura za upinzani.
3. Kila mwaka wa uchaguzi, CCM, katika umakini na utaalamu wa hali ya juu, hukikuza chama kimoja kuwa 'tishio' cha upinzani ili kubadili upepo wa kisiasa.
4. Mrema, Lowassa na Membe wanahusika na 1 na 2 hapo juu.
5. NCCR-Mageuzi, CHADEMA na ACT-Wazalendo wanahusika na 3 hapo juu.
6. Hapa Tanzania, wapo wapinzani kweli na wapinzani 'feki'. Wapinzani feki ni wengi zaidi ya wale wa ukweli.
7. Zitto yupo kwa kazi maalum kwa manufaa ya CCM katika kila uchaguzi mkuu kuanzia 2000.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Arusha, Tanzania)
CCM ya mwalimu Nyerere siyo hii iliyopo ya Nyerere iliamini katika hoja hii ya sasa inaamini katika kulindwa na dola haina hoja tena za kupeleka kwa wananchi.Huko nyuma nilishawahi ku comment kwenye nyuzi nyingi tu kuwa 2020 CHADEMA hakitakuwa chama kikuu cha upinzani.
Pia Mwalimu alisema upinzani wa kweli utatoka CCM
Dhana nzima ni potofu.Kwa kutazama filamu ya kiuchaguzi inayoendelea hivi sasa, ninaishiwa maneno ya kuzungumza. Lakini, kwakuwa JF ni a house of great thinkers, chukueni yafuatayo ili mchanganye na zenu kuelekea Oktoba 2020: