Poleni Wapinzani Tanzania, tambueni na myatafakari yafuatayo

Kuna siku upinzani utakapoona hakuna njia na kukaa pembeni basi tusishangae JWTZ wakawa wao ndio wapinzani dhidi ya dhuluma, ubadhilifu na ufisadi.
Sasa sijui hao watakuwa wana bishania wapi hoja zao na ccm?
Maneno ya kukata tamaa!
 
Huu ni upumbavu tu hakuna kitu
 
Kuna siku upinzani utakapoona hakuna njia na kukaa pembeni basi tusishangae JWTZ wakawa wao ndio wapinzani dhidi ya dhuluma, ubadhilifu na ufisadi.
Sasa sijui hao watakuwa wana bishania wapi hoja zao na ccm?
mnapenda kuitaja taja jwtz kwenye upuuzi wenu ili kuusakafia.

jwtz ni tiifu kwa serikali iliyoko madarakani,hivyo acheni upumbavu.
 
Hello motochini (hot pussy)! Nishakuwa mpuuzi tena baby? Itabidi ufanyiwe kitchen party tena kukufunda lugha nzuri. Siasa zisikupoteze!
[emoji3][emoji3][emoji3]Huwa nacheka sana chadema mnavyopanic!
.
Huyo Membe ndio yule mliekuwa mnamshabikia humu na kusema ni kachero mbobevu, mlikifikiri mnamkomesha jiwe?

Jana nmesikia akijigamba eti lazima washinde maana mbinu zote wanazijua[emoji3][emoji3]
Mnageuzwa geuzwa kama chapati sababu ya kutokujielewa kwenu.
 
Wapinzani watakumbukaje hilo wakati muda wote walikuwa wanamshabikia Membe wakimwita kachero mbobevu?

Wao walikuwa wana mshabikia wakifikiri wanamkomo jiwe kumbe muda ndio unaenda hivyo
 
Tume huru mnafikiri inapatikana kama kwenda kuagiza wali maharage kwa mama ntilie?
 
Kule kwa Mugabe ilidharauliwa hivihivi na kuonekana maneno ya kukata tamaa.

Hivi kwa Mugabe unaweza kutumia kama reference ya kinachotokea tz kweli?

Hujui kabisa kilichotokea Zimbabwe, na nini kiliendelea!
.
Hivi pale Zimbabwe Zanu pf imetoka madarakani?
 
Nilitaka kuanzisha thread Kama hii ila umeniwahi.

Kimsigi huu ndiyo ukweli ambao mwananchi wa kawaida anapaswa kuufahamu.
 
Haikututosha tulichokiona uchaguzi SM ati leo tutegemee kuona mabadiliko kwenye uchaguzi wa October.
Si vibaya tukijilisha upepo na kujipa matumaini...
#Tume Huru #Katiba Mpya
 
Reactions: BAK
Kule kwa Mugabe ilidharauliwa hivihivi na kuonekana maneno ya kukata tamaa.

cha ajabu rais mpya wa jeshi akataka mugabe awekwe katka sherehe za kitaifa.

ukishindwa kufikiri,mawe yatafikiri badala yako.
 
Heshima kuu Vuta Nkuvute,
Katika nchi yenye uzalendo na wazalendo kila mtu ni Usalama wa Taifa na ZZK kuwa Usalama wa Taifa sio jambo jipya wala kustua.Hakuanza yeye bali kina Mabere Marando na wengine.ZZK alidukuliwa akiongea na Nzoka 2010 na hajakanusha hayo lakini hilo halitufanyi tuache kuangalia na kuchuja anachozungumza.Kwa sasa ndiye mpinzani pekee anayeweza kuzungumza kwa ushahidi wa takwimu.
Umezungumzia kuwa CCM inaleta mapandikizi upinzani na ukawataja Mrema na Lowasa,hapa naomba tuhitilafiane kidogo.Upepo wa Mrema na na wa Lowassa ulikuwa karibu uangushe mbuyu;pandikizi gani anayekaribia kumuondoa boss wake?Mambo yaliyosababisha hawa wote walegeze misimamo ni maslahi yao binafsi.
Kuhusu Membe kama unakumbuka baada ya JPM kuapishwa na kuanza ile tumbutumbua iliyoshabikiwa sana na kuponda uongozi uliopita Membe aliitisha mkutano na waandishi wa habari lakini ulifutwa dakika za mwisho.Hii inaashiria ya kuwa JPM na Membe wana mitizamo tofauti katika kipindi kirefu.
Membe amedukuliwa mawasiliano yake na hatujui ni kwa kiwango lakini hii kwa mtu wa cheo cha Membe ni tendo linaloteta chukizo moyoni.
Ujio wake utasaidia kuongeza wanachama,kutujuza ya upande mwingine wa JPM ambao inawezekana tulikuwa hatuyajui na pia itasaidia kuongeza wabunge na madiwani angalau hata kwa miaka mitano.
 
Hivi kwa Mugabe unaweza kutumia kama reference ya kinachotokea tz kweli?

Hujui kabisa kilichotokea Zimbabwe, na nini kiliendelea!
.
Hivi pale Zimbabwe Zanu pf imetoka madarakani?
Kwani hapa shida ni ccm kama ccm kwa sasa? Shida ni watu wa ccm kadhaa walio ipoka ccm. Hata Zimbabwe Mugabe na majizi yake uliona kilichowapata? Hata mkewe ndio maana kakimbia
 
Tanzania itabaki kuwa Tanzania!
Tanzania ile ya wakati wa Nyerere mpaka JK sio ya sasa kimataifa.
Ya sasa tunaonekana kama watu wa karne ya 18 kwa ushamba kiasi hatuwezi kusimama majukwaa ya kimataifa kuonyesha weledi wetu
 
cha ajabu rais mpya wa jeshi akataka mugabe awekwe katka sherehe za kitaifa.

ukishindwa kufikiri,mawe yatafikiri badala yako.
Jina la Mugabe lilikuwa linabebwa na upigania Uhuru na ushupavu wake.
Hata hivyo Mugabe hakuwa mtu muongo kwa RAIA wake, Bali misimamo yake tuu na wizi wa wasaidizi na familia yake
 
Unadhungumzia dhuluma nchi gani we fisadi wa fitina. Unakaa unapumua sehemu Zote na bado unadai dhuluma. Unasafiri. Unakula. Unaj hapa JF. Nk. Punguzeni upumbavu watanzania wenzangu. Kila mtu mwanasiasa how.
Mtaji wa ccm mazombie kama wew ambaye hujui hata kuandika kiswahili vizuri
 
Tanzania ile ya wakati wa Nyerere mpaka JK sio ya sasa kimataifa.
Ya sasa tunaonekana kama watu wa karne ya 18 kwa ushamba kiasi hatuwezi kusimama majukwaa ya kimataifa kuonyesha weledi wetu
Dunia hivi sasa kila taifa lipo huru linajitawala,tumeshawapambania sana,mikutano mikubwa ya kimataifa tunashiriki unataka jukwaa gani au analopanda 50cent!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…