Poleni Wasukuma kwa kuchagua wabunge wa darasa la 7

Mbunge wa Karatu, Arusha nadhani ni darasa la 3. Kama una tangazo lako unataka kurekodi kwa lafudhi ya kimbulu huna haja kumpa kazi comedian. Mtafute huyo mbunge akusomee hilo tangazo upate jingle moja kali sana naturally.
 
Mbunge wa Karatu, Arusha nadhani ni darasa la 3. Kama una tangazo lako unataka kurekodi kwa lafudhi ya kimbulu huna haja kumpa kazi comedian. Mtafute huyo mbunge akusomee hilo tangazo upate jingle moja kali sana naturally.
Jina Nani? Mbunge Darasa la 3?
 
Kanda ya ziwa wanaowakilisha vizuri majimbo yao na wapiga kura wao wanaheshimu ni
1. Kishimba-Kahama-Shinyanga
2. Luhaga J. Mpina-Kisesa, Meatu Simiyu
3. Dotto Mashaka Biteko-Mbogwe, Shinyanga
 
Tutajie mbunge wako msomi ili tuone tofauti yake na hao wa darasa la saba.
 
Uo
Nikutoe wasi wasi ELIMU na Uongozi ni vitu viwili tofauti kabisa nilitegemea ELIMU Yako ikusaidie lakini wapi MSUKUMA Katika Jimbo lake anafanya vyema nilibahatika kufika Nzera Geita nikakuta Wamepewa hospital kubwa, halmashauri, njia zimefunguliwa, Bandari ndogo inajengwa pia Kuna tata za MSUKUMA zinakutoa kijijini mpaka mwanza kwa 5000 huyo jamaa UMFANANISHE NA WABUNGE WA ARUSHA WATANO AU TANGA
 
Nyie mliochagua wenye madigriii na maprofesa mna tofauti gani na sisi? Wote tukienda bungeni tunaomba maji, barabara,umeme, hospitali na shule,🤣🤣🤣. Au wwnzetu mnaenda kuomba hela za kufanya mission za anga za juu? 🤣🤣🤣🤣
 
Unasemaa!?!
 
Kwamba wakati uchaguzi unaharibiwa kukuona mkuu
 
Hao uliosema elimu zao hazijulikani ndio wamepiga shule wape mauwa yao acha ujinga toto la kichaga na macho makubwa miguu spoku

USSR
 
Mwisho litakuwa bunge la vilaza, mambo yataamuliwa kilaza, sheria za kilaza. Africa mashariki watatushangaa.
 
Na ndugu yangu anaitwa James ni la saba Ila lijamaa Lina akili na pesa mzee.

JUA kutofautisha akili na VYETI maana ma babu zetu walikua na akili na MAARIFA mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…