Poleni Watanganyika, poleni sana

Lakini kiuhalisia RC ndio ilikuwa kila kitu kwenye kile kikao, kuanzia maandalizi, mipango, hoja mpaka wayforward ya nini kifanyike baada ya hapo!
Hili umeliweka vizuri, seems walijipanga vizuri, naamini wataokoa jahazi ambalo wa Dodoma walitaka kulizamisha mazima kabisa.! Nafikiri tuwape maua yao kwa kututetea kwa hoja nzito!
 
Ze hunger iz vere vere bad sing!
 
hamjambo.
Bandari ya Zanzibar haimo sababu haina tija hata kidogo.
Wafanya biashara wantaka sehemu zenye tija.
Wanataka bandari zilizo ungana na nchi za Afrika moja kwa moja.
Zanzibar ni kisiwa na bandari yake ikitaka kusafirisha itabidi kutumike another transport system ya meli.

Kwa ufupi Bandari za Zanzibar hazina tija hata kidogo.

Lakini ikiwa bandari za Bara hazito fanya kazi vizuri basi bandari ya zanzibar inaweza kuja juu.
Tufikirie hilo
 
Ama kweli rangi tumeziona!
Rasilimali zote zikiisha, tunafuatia sisi.
Kama naiona tena biashara ya utumwa!
Halafu UTUMWA wenyewe wa UARABUNI!!
Wanaume mnaasiwa kabla hata hamjanunuliwa ili msiende kutia mimba mabibi wa KIARABU.
Hatari sana.
Poleni sana Watanganyika.
 
Kwani Zanzibar siyo sehemu ya Tanzania?
Kwa nini Bandari za Tanzania bara hadi za mito na mabwawa zihusishwe, halafu za Tanzania visiwani zisihusishwe?
Hivi wengine huwa mnatumia mechanisms gani kufikiria?!!
 
Hatujambo!!

Mkuu naona haujaelewa wananchi wanacholilia.

Issue hapo sio uboreshwaji wa bandari yetu ila issue ni aina ya mkataba walioingia. Wazi kabisa huo ni mkataba wa kifisadi na unaonekana ulishasainiwa muda mrefu bila kushirikisha maoni ya wadau, wananchi na wenye bandari yao.
 
Lakini ikiwa bandari za Bara hazito fanya kazi vizuri basi bandari ya zanzibar inaweza kuja juu.
Tufikirie hilo[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tulizeni mishono hiyo!Muungano ni suala la kanisa.Waislamu tupo tayari muda wowote uvunjwe huo muungano.

Kila akikaa madarakani muislamu vikalio vyenu vinawawasha.Malofa wakubwa nyie by Ben voice.
 
Dah aisee sina cha kusema .
 
Tatizo hatufanyi critical thinking ,critical analysis ila tuko very very emotion with very low emotional intelligence na pia tumeaminishwa kwamba serikali ni lazima imiliki kila kitu kwa asilimia mia yaani kila kitu na pia serikali lazima iwabane sana wafanyabiashara ndio ustawi wa nchi na pia kwa kuwa bado wazee wetu ndio ujana wao ulikuwa ule wa enzi za mwalimu na kila kitu mali ya umma fikra hizo zitaendelea tu.
Critical ukiangalia utendaji wa mfano mzuri makampuni ya mwasiliano na huduma za mawasiliano nchini na kwa kiwango gani zimeboreka toka sekta binafsi ziliporuhusiwa kuwekeza kwenye mawasiliano utaona kabisa kuna umuhimu mkubwa wa mageuzi ya kiuendeshaji wa mashirika yetu kwa kujipunguzia mzigo wa mishahara na matumizi ya mashirika huku serikali ikijizatiti zaidi kwenye kuweka regulations na kukusanya kodi iliipate surplus bajeti ,hayo mashirika yanayokuwa na poor performance yanarudisha nyuma maendeleo ya nchi na kuwapa mzigo watanzania wa kawaida kulipa kodi kubwa ili serikali zijiendeshe yangeweza kuwa efficiently yangeleta tija pia yameshindwa kufanya biashara na kupenetrate kwenye markets ya nchi nyingine na kutuletea profit home.
 
Bendera imependeza mimi nakumbuka tarehe 9 December 1961 uwanja wa Taifa Dar saa sita usiku bendera hii ikipandishwa nilikuwepo nashuhudia nikiwa mtoto mdogo darasa la tatu tulichaguliwa kucheza halaiki na kuvaa fulana za bendera hii mimi nilipangwa rangi ya njano.....Mungu ataturudishia bendera yetu na Tanganyika yetu
 
Wagagagigikoko
 
Wote hao wanaumwa ugonjwa aliouita Mch.Christopher Mtikila,Apedomia yaani ule ule unyani wa siku zileee.Ukiwa nao unakuwa na lower utility
Ukipewa tende na haluwa basi unawasahau wenzio.
Nimemkumbuka sana Marehemu Mtikila.
Yule ndio Mpinzani halisi.
Sio hawa wa kupambania ruzuku tu basi.
Apedomia.
 
Ndugai alitoa kauli ya kishujaa mno.
hebu kwanza.

Inawezekana alishaona kazi iliyokuwa tayari inaandaliwa; halafu yeye kwa pupa karopoka hadharani?

Maana historia ya huyo huyo Ndugai siyo ya kujivunia sana mbele za watu wenye akili timamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…