Poleni Watanganyika, poleni sana

Poleni Watanganyika, poleni sana

Tuuweke unafique kando! Tunapaswa kujitathmini upya
Sisi ni wanafiki. (Kupitia bunge hilo limethibitika
Sisi ni waoga na wazito kuchukua maamuzi magumu
Sisi ni waongeaji sana kuliko watendaji (keyboard warriors)
Sisi ni makuwadi (huu ukweli mchungu)
Sisi ni wabinafsi
Sisi ni waongo sana
Sisi si wamoja na hatuna umoja
Sisi hatuna uzalendo na hatujanyooka

Leo hii kuna Tanzania na kuna Zanzibar! Nyeusi tuite nyeusi jamani.. Je Tanganyika iko wapi? Imebaki kwenye makabrasha ya kumbukumbu ghalani.

Suala la kuuza/kugawa/kubinafsisha bandari zetu zote za Tanganyika ya makaratasi, limetuacha uchi na kuthibitisha sisi ni watu wa namna gani.

Wenzetu ndugu zetu na jirani zetu Zanzibar wametuzodoa, wametubeza, wametupasha, wametukejeli na kutucheka sana humu mitandaoni. Wametupa majina mengi mabaya na ya kukarahisha sana! TUNASTAHILI!

Tumejawa na unyonge na unafiki wa ajabu kabisa! Hatuna mbele hatuna nyuma kama sigara kali! Nyuma ni mbele na mbele ni kama nyuma. Tukiwashwa mbele nyuma tunavutika! Tukiwashwa nyuma mbele tunavutika!

Jana kilichoitwa kikao cha viongozi wa dini kimetoa mwelekeo mpya mpya kwenye hili sakata! Kimepangua na kufisha hoja zote zilizotumiwa na bunge kukubaliana na kile kilichokuwa kimepangwa na wenye ajenda zao!

Nyeusi tuite nyeusi, kikao kile pamoja na kuitwa ni kikao cha viongozi wa dini.. Lakini kiuhalisia RC ndio ilikuwa kila kitu kwenye kile kikao, kuanzia maandalizi, mipango, hoja mpaka wayforward ya nini kifanyike baada ya hapo! Kuna taasisi bado zitabaki kuwa juu miongo mingi ijayo kutokana na elimu! Na ndio maana EL alisisitiza sana elimu.

Bunge letu! a laughing stock of the century tusiwaseme vibaya marehemu kwakuwa hawapo kujitetea lakini tukumbuke nyayo zao zinaishi kila walikopita! Tusingekuwa na bunge la namna hii kama kuna watu wasingekuwa na fikra finyu maono kimo cha mbilikimo!

Watetezi wa uwekezaji kandamizi wa kinyonyaji na kitapeli, wameokotezwa huko na huko na kupewa chochote kulingana na hadhi zao (price tags) lakini zisikilize hoja zao sasa! Sio hoja ni vioja! Wanapiga tu kelele na kupayuka kama mahoka kwa sangoma! Cha kushangaza wamepata uungwaji mkono na wajinga wengi.

Viongozi na wanasiasa walioko madarakani! Hawa sijui wanawaza nini! Au ndio ule usemi shibe mwana malevya? Hakuna hata mmoja aliyejitokeza waziwazi na kusema kwa sauti thabiti HILI HALIFAI! wote wanaishia kunong'ona mafichoni tena kwa sauti ya woga! Hawatuwazii sisi, hawaliwazii taifa! Wanajiwazia wao na matumbo yao na familia zao.

Poleni Watanganyika! Poleni sana! Kuna tabaka la wapigaji walioamua kujimilikisha hii nchi[emoji24], ubinafsi na unafiki wetu na woga wetu vimetufanya tuwaache wakue na kujijenga kwa nguvu mno! Sasa hawagusiki tena! Na kamwe hawajitokezi hadharani bali huwatumia makuwadi na vibaraka wao tangu juu mpaka chini kabisa, kila mahali na kila penye mikono ya uamuzi.. NA WOTE HAO NI WATANGANYIKA WENZETU.

Tusiwalaumu wezi tuwalaumu waliowaonesha wezi mlango wa kuingilia huku wakiwalinda ili waweze kuiba nyumbani kwetu bila kukamatwa.

Poleni watanganyika! Tumeziona rangi zetu halisi

Umenikumbusha sigara kali Za Nyota na misokoto 😜😝😝😝

Ukali wote wa sigara lakini zinavutika mote 👍👍🤣🤣🤣
 
Hivi wazee wa nchi wako wapi kwenye jambo hili? Mbona wako kimya kabisa? Eg, Warioba, Malecela, etc. Yani jambo kama hili ni doa kwa nchi, ila wao wamekaa kimyaaa.
 
Kwa kweli kati ya vitu vilivyosikitisha ni huu uamuzi wa Huyu Mama, Nimetafakari sana, Nyerere hakuwaza kubinafsisha bandari, Mwinyi pia, Mkapa aliyekuwa mwanzilishi wa uwekezaji hakubinafsisha bandari, JK Mzee wa wapigaji hakuthubutu hata kuwaza hili, JPM Mzalendo wa kweli alikuwa sambamba na huyu mama Mnafiki hakuwaza kubinafsisha hiyo Bandari, Leo hii Huyu Mama ujasiri anautoa wapi?

Inasikitisha sana, Kama unatakiwa ufanisi wa kuendesha Bandari si bora wawekeze kwenye mitambo hata kama kwa mkopo??? Kinachoenda kufanyika ni kupeleka mapato yote ya nchi DUBAI, Kwa muda usiojulikana.
R.I.P TANGANYIKA.
Mkuu, Dr Slaa jana alisema awamu ya nne ilikuwa na mpango wa kubinafsha hiyo bandari, taarifa ikavuja na alievujisha taarifa akafukuzwa kazi na mpango ulikuja kuzimwa na Magu.

Sasa hiki kinachotokea sasa hivi utajua shida inaanzia wapi. Msoga
 
Tuuweke unafique kando! Tunapaswa kujitathmini upya
Sisi ni wanafiki. (Kupitia bunge hilo limethibitika
Sisi ni waoga na wazito kuchukua maamuzi magumu
Sisi ni waongeaji sana kuliko watendaji (keyboard warriors)
Sisi ni makuwadi (huu ukweli mchungu)
Sisi ni wabinafsi
Sisi ni waongo sana
Sisi si wamoja na hatuna umoja
Sisi hatuna uzalendo na hatujanyooka

Leo hii kuna Tanzania na kuna Zanzibar! Nyeusi tuite nyeusi jamani.. Je Tanganyika iko wapi? Imebaki kwenye makabrasha ya kumbukumbu ghalani.

Suala la kuuza/kugawa/kubinafsisha bandari zetu zote za Tanganyika ya makaratasi, limetuacha uchi na kuthibitisha sisi ni watu wa namna gani.

Wenzetu ndugu zetu na jirani zetu Zanzibar wametuzodoa, wametubeza, wametupasha, wametukejeli na kutucheka sana humu mitandaoni. Wametupa majina mengi mabaya na ya kukarahisha sana! TUNASTAHILI!

Tumejawa na unyonge na unafiki wa ajabu kabisa! Hatuna mbele hatuna nyuma kama sigara kali! Nyuma ni mbele na mbele ni kama nyuma. Tukiwashwa mbele nyuma tunavutika! Tukiwashwa nyuma mbele tunavutika!

Jana kilichoitwa kikao cha viongozi wa dini kimetoa mwelekeo mpya mpya kwenye hili sakata! Kimepangua na kufisha hoja zote zilizotumiwa na bunge kukubaliana na kile kilichokuwa kimepangwa na wenye ajenda zao!

Nyeusi tuite nyeusi, kikao kile pamoja na kuitwa ni kikao cha viongozi wa dini.. Lakini kiuhalisia RC ndio ilikuwa kila kitu kwenye kile kikao, kuanzia maandalizi, mipango, hoja mpaka wayforward ya nini kifanyike baada ya hapo! Kuna taasisi bado zitabaki kuwa juu miongo mingi ijayo kutokana na elimu! Na ndio maana EL alisisitiza sana elimu.

Bunge letu! a laughing stock of the century tusiwaseme vibaya marehemu kwakuwa hawapo kujitetea lakini tukumbuke nyayo zao zinaishi kila walikopita! Tusingekuwa na bunge la namna hii kama kuna watu wasingekuwa na fikra finyu maono kimo cha mbilikimo!

Watetezi wa uwekezaji kandamizi wa kinyonyaji na kitapeli, wameokotezwa huko na huko na kupewa chochote kulingana na hadhi zao (price tags) lakini zisikilize hoja zao sasa! Sio hoja ni vioja! Wanapiga tu kelele na kupayuka kama mahoka kwa sangoma! Cha kushangaza wamepata uungwaji mkono na wajinga wengi.

Viongozi na wanasiasa walioko madarakani! Hawa sijui wanawaza nini! Au ndio ule usemi shibe mwana malevya? Hakuna hata mmoja aliyejitokeza waziwazi na kusema kwa sauti thabiti HILI HALIFAI! wote wanaishia kunong'ona mafichoni tena kwa sauti ya woga! Hawatuwazii sisi, hawaliwazii taifa! Wanajiwazia wao na matumbo yao na familia zao.

Poleni Watanganyika! Poleni sana! Kuna tabaka la wapigaji walioamua kujimilikisha hii nchi[emoji24], ubinafsi na unafiki wetu na woga wetu vimetufanya tuwaache wakue na kujijenga kwa nguvu mno! Sasa hawagusiki tena! Na kamwe hawajitokezi hadharani bali huwatumia makuwadi na vibaraka wao tangu juu mpaka chini kabisa, kila mahali na kila penye mikono ya uamuzi.. NA WOTE HAO NI WATANGANYIKA WENZETU.

Tusiwalaumu wezi tuwalaumu waliowaonesha wezi mlango wa kuingilia huku wakiwalinda ili waweze kuiba nyumbani kwetu bila kukamatwa.

Poleni watanganyika! Tumeziona rangi zetu halisi

Unaumia ukiwa wapi?
 
Tumeridhika huku kulalamika humu mitandaoni wenyewe tunasema uhuru wa kutoa maoni. Tukiona wengine wanashabikia muziki na mpira tunawaona wajinga hawawazi vitu vya maana yani kulalamika mitandaoni kama sisi.
 
Bring back our Tanganyika, kati ya siku nilishangaa ni siku bunge linajadili hilo suala yaani kiukwel tuwe wakweli bila kuficha wabunge wa Tanzania ni wanafiki saana kwa asilimia 90 mle ndani nilikuwa ninasikia kusifia tu wala sikupata hoja zenye mashiko shame on them
Kama Kuna Mwanasheria atanisaidia aniruhusu ,nitamke lolote kuhusu Bunge la CCM,naona Dr Slaa alipunguza ukali wa maneno ,lile sio Bunge la hovyo,ni bunge la ..........
Sabufa alijigeuza waziri.
 
Kumekuchaa! Kundi la EDGE la Umoja wa Falme za Kiarabu limesaini makubaliano ya ushirikiano na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa maonyesho ya ulinzi ya IDEX Tarehe 21 Februari 2023 huko Abu Dhabi. Okay waTanganyika Mpoooo?!!!! chahali.medium.com/waarabu-wasain…
20230618_053536.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inasikitisha mtu kama Msukuma mtoto ambaye hakuwa amezaliwa wakati wa muungano, ndiye namba 1 kubeza wanaotoa hoja za kupinga mkataba ule!
Sawa si hoja wapo wadogo kama Mdee lakini ni wasomi wamekwenda mbali kuangalia Impact ya mkataba ule.

Shida ni zile kura za kupewa 2020 ndizo zinawapa aibu kuhoji. Watu kama akina Mpina kimyaa.
Mwalimu alikuwa akihoji kabla ya kusign mikataba ndo maana tulijenga reli ya Tazara hakukuwa na kelele ingawa tuliogea sabuni za Mei yu na Samsang lakini deni lilipoisha maisha ya kaendelea.

Mimi naunganisha dot mbili toka kwa mzee ruksa kuja kwa dada.
Wew nawe huna akili kwahiyo msukuma ndiyo amesababisha kwa akili km hizi cha kuongea chochote kutokujua chochote hakuna chochote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tuuweke unafique kando! Tunapaswa kujitathmini upya
Sisi ni wanafiki. (Kupitia bunge hilo limethibitika
Sisi ni waoga na wazito kuchukua maamuzi magumu
Sisi ni waongeaji sana kuliko watendaji (keyboard warriors)
Sisi ni makuwadi (huu ukweli mchungu)
Sisi ni wabinafsi
Sisi ni waongo sana
Sisi si wamoja na hatuna umoja
Sisi hatuna uzalendo na hatujanyooka

Leo hii kuna Tanzania na kuna Zanzibar! Nyeusi tuite nyeusi jamani.. Je Tanganyika iko wapi? Imebaki kwenye makabrasha ya kumbukumbu ghalani.

Suala la kuuza/kugawa/kubinafsisha bandari zetu zote za Tanganyika ya makaratasi, limetuacha uchi na kuthibitisha sisi ni watu wa namna gani.

Wenzetu ndugu zetu na jirani zetu Zanzibar wametuzodoa, wametubeza, wametupasha, wametukejeli na kutucheka sana humu mitandaoni. Wametupa majina mengi mabaya na ya kukarahisha sana! TUNASTAHILI!

Tumejawa na unyonge na unafiki wa ajabu kabisa! Hatuna mbele hatuna nyuma kama sigara kali! Nyuma ni mbele na mbele ni kama nyuma. Tukiwashwa mbele nyuma tunavutika! Tukiwashwa nyuma mbele tunavutika!

Jana kilichoitwa kikao cha viongozi wa dini kimetoa mwelekeo mpya mpya kwenye hili sakata! Kimepangua na kufisha hoja zote zilizotumiwa na bunge kukubaliana na kile kilichokuwa kimepangwa na wenye ajenda zao!

Nyeusi tuite nyeusi, kikao kile pamoja na kuitwa ni kikao cha viongozi wa dini.. Lakini kiuhalisia RC ndio ilikuwa kila kitu kwenye kile kikao, kuanzia maandalizi, mipango, hoja mpaka wayforward ya nini kifanyike baada ya hapo! Kuna taasisi bado zitabaki kuwa juu miongo mingi ijayo kutokana na elimu! Na ndio maana EL alisisitiza sana elimu.

Bunge letu! a laughing stock of the century tusiwaseme vibaya marehemu kwakuwa hawapo kujitetea lakini tukumbuke nyayo zao zinaishi kila walikopita! Tusingekuwa na bunge la namna hii kama kuna watu wasingekuwa na fikra finyu maono kimo cha mbilikimo!

Watetezi wa uwekezaji kandamizi wa kinyonyaji na kitapeli, wameokotezwa huko na huko na kupewa chochote kulingana na hadhi zao (price tags) lakini zisikilize hoja zao sasa! Sio hoja ni vioja! Wanapiga tu kelele na kupayuka kama mahoka kwa sangoma! Cha kushangaza wamepata uungwaji mkono na wajinga wengi.

Viongozi na wanasiasa walioko madarakani! Hawa sijui wanawaza nini! Au ndio ule usemi shibe mwana malevya? Hakuna hata mmoja aliyejitokeza waziwazi na kusema kwa sauti thabiti HILI HALIFAI! wote wanaishia kunong'ona mafichoni tena kwa sauti ya woga! Hawatuwazii sisi, hawaliwazii taifa! Wanajiwazia wao na matumbo yao na familia zao.

Poleni Watanganyika! Poleni sana! Kuna tabaka la wapigaji walioamua kujimilikisha hii nchi[emoji24], ubinafsi na unafiki wetu na woga wetu vimetufanya tuwaache wakue na kujijenga kwa nguvu mno! Sasa hawagusiki tena! Na kamwe hawajitokezi hadharani bali huwatumia makuwadi na vibaraka wao tangu juu mpaka chini kabisa, kila mahali na kila penye mikono ya uamuzi.. NA WOTE HAO NI WATANGANYIKA WENZETU.

Tusiwalaumu wezi tuwalaumu waliowaonesha wezi mlango wa kuingilia huku wakiwalinda ili waweze kuiba nyumbani kwetu bila kukamatwa.

Poleni watanganyika! Tumeziona rangi zetu halisi

Kilichobaki ni mambo mawili moja ni ss wananchi kuandamana na kukataa Upumbavu wa namna hii wa kubinafsisha bandari,mbili jeshi kuchukua hatua stahiki ili kulinda usalama wa Taifa leta Tanzania ktk mpaka huo maana wapumbavu wachache wanadhani hiyo ni bandari tu.
 
Kumekuchaa! Kundi la EDGE la Umoja wa Falme za Kiarabu limesaini makubaliano ya ushirikiano na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa maonyesho ya ulinzi ya IDEX Tarehe 21 Februari 2023 huko Abu Dhabi. Okay waTanganyika Mpoooo?!!!! chahali.medium.com/waarabu-wasain…View attachment 2660990

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanamke ASIPEWE NCHI TENA.Bregedia mzima hana uelewa wowote,kazi kweli kweli.Na IWE na marufuku Rais kuwa amiri jeshi mkuu.Haiwezekana nchi inakuwa na mfumo kutengeneza vinyago na kuanza kuviogopa ni Upumbavu na uzwazwa huu.KATIBA MPYA NA IJE SASA.
 
Ndungai lile ndio jembe, lilisemaga live tu, japo alionekana mbaya, wanafiki wanasapot kila kitu hakuna kupinga wanajua Kuna kupoteza asali.
Ndugai nilimtoa thaman kwa tukio lake la kutaka kuunga mkono uvinjwaji wa katiba hapo tu nilimuona ni nyang'au
 
Kilichobaki ni mambo mawili moja ni ss wananchi kuandamana na kukataa Upumbavu wa namna hii wa kubinafsisha bandari,mbili jeshi kuchukua hatua stahiki ili kulinda usalama wa Taifa leta Tanzania ktk mpaka huo maana wapumbavu wachache wanadhani hiyo ni bandari tu.
20230618_091050.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom