Poleni Watanganyika, poleni sana

Ile Bendera kumbe ilikuwa ni nzuri sana, hata mwonekano wake unavutia hata kuliko hili tambara tulilonalo sasa.
'Mugassa' saa sita za usiku, mtoto wa darasa la tatu ulikuwa bado macho! Inawezekana ilikuwa ni kwa sabau ya kula vichwa vingi vya furu wakati huo; lakini Dar, ulivipata wapi?
 
Zanzibar ipo ila Tanganyika haipo huu ndio ujinga wetu mkubwa, sijawahi kuwaelewa watetezi wa muungano kuhusu kutokuwepo kwa Tanganyika
Kwa akili hizi ,halali naibu wako apate ujauzito

Yaani ,Zanzibar IPO Tanganyika inakosekana

Yaani

Unahoji ,kwann Kuna Tanzania bara na Tanzania visiwani ,lakini ukifatilia zaidi ,Tanzania visiwani haipo ila

Ila Kuna Zanzibar
 
hebu kwanza.

Inawezekana alishaona kazi iliyokuwa tayari inaandaliwa; halafu yeye kwa pupa karopoka hadharani?

Maana historia ya huyo huyo Ndugai siyo ya kujivunia sana mbele za watu wenye akili timamu.
Maana historia ya huyo huyo Ndugai siyo ya kujivunia sana mbele za watu wenye akili timamu.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na bado mama anaupiga mwingi, sasa taasisi nyeti anawajaza waleeeeeeee.
Niishie hapo
 

Ulipokosea hapo “JPM mzalendo wa kweli”

Hili bunge la ovyo lililopitisha unachopinga sasa ni zao lake

Labda nikulize, lengo la mzalendo wa kwel kutuchagulia bunge la kina waitara na babu tale ni nini?
 
Tushajiambia sana kuwa sisi ni waoga(japo binafsi sikubaliani na hilo) na tushaamini hivyo na kujiita ni keyboard warriors, sasa mimi nashauri kwamba tufanye kile tunachokiweza kwa maana tuitumie hii mitandao kujibu mapigo ambayo yataleta athari nje ya mitandao badala ya kuitumia kulalamika na kukosoa tu. Kama huko uraiani tunaogopa hata kuwabana wabunge wetu basi tutumie mitandao.
 
Asante
 
Mkuu MshanaJR hii hoja inafikirisha.. embu tutanue kidogo mtazamo wa huyu mwenzetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…