Poleni Watanganyika, poleni sana


Umenikumbusha sigara kali Za Nyota na misokoto 😜😝😝😝

Ukali wote wa sigara lakini zinavutika mote 👍👍🤣🤣🤣
 
Hivi wazee wa nchi wako wapi kwenye jambo hili? Mbona wako kimya kabisa? Eg, Warioba, Malecela, etc. Yani jambo kama hili ni doa kwa nchi, ila wao wamekaa kimyaaa.
 
Mkuu, Dr Slaa jana alisema awamu ya nne ilikuwa na mpango wa kubinafsha hiyo bandari, taarifa ikavuja na alievujisha taarifa akafukuzwa kazi na mpango ulikuja kuzimwa na Magu.

Sasa hiki kinachotokea sasa hivi utajua shida inaanzia wapi. Msoga
 
Unaumia ukiwa wapi?
 
Tumeridhika huku kulalamika humu mitandaoni wenyewe tunasema uhuru wa kutoa maoni. Tukiona wengine wanashabikia muziki na mpira tunawaona wajinga hawawazi vitu vya maana yani kulalamika mitandaoni kama sisi.
 
Kama Kuna Mwanasheria atanisaidia aniruhusu ,nitamke lolote kuhusu Bunge la CCM,naona Dr Slaa alipunguza ukali wa maneno ,lile sio Bunge la hovyo,ni bunge la ..........
Sabufa alijigeuza waziri.
 
Kumekuchaa! Kundi la EDGE la Umoja wa Falme za Kiarabu limesaini makubaliano ya ushirikiano na Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati wa maonyesho ya ulinzi ya IDEX Tarehe 21 Februari 2023 huko Abu Dhabi. Okay waTanganyika Mpoooo?!!!! chahali.medium.com/waarabu-wasain…

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wew nawe huna akili kwahiyo msukuma ndiyo amesababisha kwa akili km hizi cha kuongea chochote kutokujua chochote hakuna chochote

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kilichobaki ni mambo mawili moja ni ss wananchi kuandamana na kukataa Upumbavu wa namna hii wa kubinafsisha bandari,mbili jeshi kuchukua hatua stahiki ili kulinda usalama wa Taifa leta Tanzania ktk mpaka huo maana wapumbavu wachache wanadhani hiyo ni bandari tu.
 
Mwanamke ASIPEWE NCHI TENA.Bregedia mzima hana uelewa wowote,kazi kweli kweli.Na IWE na marufuku Rais kuwa amiri jeshi mkuu.Haiwezekana nchi inakuwa na mfumo kutengeneza vinyago na kuanza kuviogopa ni Upumbavu na uzwazwa huu.KATIBA MPYA NA IJE SASA.
 
Ndungai lile ndio jembe, lilisemaga live tu, japo alionekana mbaya, wanafiki wanasapot kila kitu hakuna kupinga wanajua Kuna kupoteza asali.
Ndugai nilimtoa thaman kwa tukio lake la kutaka kuunga mkono uvinjwaji wa katiba hapo tu nilimuona ni nyang'au
 


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…