Poleni Watanganyika, poleni sana

Mwanamke ASIPEWE NCHI TENA.Bregedia mzima hana uelewa wowote,kazi kweli kweli.Na IWE na marufuku Rais kuwa amiri jeshi mkuu.Haiwezekana nchi inakuwa na mfumo kutengeneza vinyago na kuanza kuviogopa ni Upumbavu na uzwazwa huu.KATIBA MPYA NA IJE SASA.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jitahidi kuepuka posti chonganishi. Hakuna cha pole watanganyika tupo fiti wala hatujapatwa na baya lolote la kusitahiki sisi kupewa pole.
 

Hakuna siku niliharibiwa siku yangu kama ile Yan walivyomshambulia Mdee ndio nilichoka kabisa kila saa taarifa taarifa ili mradi tu wamchanganye
 
Ndungai lile ndio jembe, lilisemaga live tu, japo alionekana mbaya, wanafiki wanasapot kila kitu hakuna kupinga wanajua Kuna kupoteza asali.
jembe gani lililoapisha wabunge feki wa upinzani nje ya jengo, au ulikuwa umelala usingizi wa pono? Unadhani angekuwa bado spika angesema vinginevyo? SAHAU

Yule ni sawa na ile hadithi ya sungura alipokosa zabibu akasema 'sizitaki mbichi hizi'
 
Mtu wa kwanza kulaumiwa kuhusu bunge hili, ni hayati magufuri, kutuletea wabunge hawa, wao kazi yao ni kusifu na kuabudu..

Leo hii hata rais aseme, anataka kubinafsisha serikali, wao watasifu na kupiga makofi...
Sijawahi kuona binadamu asiyekisea kama ni hivyo inakuwaje marais watanzania wawe kama malaika, kila kona ni kusifia tu. Safari tunayo.
 
jembe gani lililoapisha wabunge feki wa upinzani nje ya jengo, au ulikuwa umelala usingizi wa pono? Unadhani angekuwa bado spika angesema vinginevyo? SAHAU

Yule ni sawa na ile hadithi ya sungura alipokosa zabibu akasema 'sizitaki mbichi hizi'
Sawa[emoji122][emoji2935]
 
Asante kwa bendera nzuri na ya kuvutia.
 
Niliwahi kutoa makala ya Suluhisho la Kudumu na Bora la Kero za Muungano, lakini nilishangaa wengi waliounga mkono ni Wazanzibari, wenzangu toka Tanganyika wakawa kiduchu mno!

Mojawapo ya mapendekezo katika suluhisho hilo kwa ufupi, Zanzibar na Tanganyika zibaki kuwa nchi kamili na majirani wema wa kihistoria, basi!

Natamani tuwe na akina Mtikila japo 10, Tanganyika itakuwa dhahiri hata kesho! Tusichoke, Tanganyika ilikuwepo, ipo (ikifunikwa na jina Tanzania), na itakuwepo kwa hakika - daima milele!
 
Iwe mvua, iwe jua, but Tanganyika will never die!
 
Ndungai lile ndio jembe, lilisemaga live tu, japo alionekana mbaya, wanafiki wanasapot kila kitu hakuna kupinga wanajua Kuna kupoteza asali.
Lakini SI baadae aliomba msamaha kwa maneno yake?!
"Nimekosa sana! Nisameheni sana.!"
Huyo yupo kundini na yeye akiulizwa wanaosema ndiyo waseme ndiyo kwa saiti kubwa Ndugai lazima aseme "NDIYOOOOOOOO!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…