Poleni Watanzania, kumbe Corona imegonga hadi Ikulu na kumuathiri mwanaye Rais

Poleni Watanzania, kumbe Corona imegonga hadi Ikulu na kumuathiri mwanaye Rais

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Rasi Magufuli amekiri kwamba mwanaye aligunduliwa kuwa na corona, na amepona, nahisi hadi hapo Watanzania mtaanza kuamini hiki kitu kipo na sio propaganda za wazungu au mambo ya mapaipai na sijui oili ya gari,mtaanza kuchukua tahaadhari, rais mwenyewe kimeingia kwake ikulu, na hapo ingekua kwa mataifa mengine yeye kama baba wa nyumba angeingia karantini kama kwa namna moja au nyingne alikaribiana na mwanaye.

Nampa hongera kwa kutoficha hili na kulisema wazi lisije kutoka na wengine.

======

Tanzania President John Pombe Magufuli has revealed that one of his two children who had contracted the novel Coronavirus is now healthy and doing push ups.

President Magufuli said that the child, whom he did not name, was locked up in their room using homemade remedies to treat the condition and now they are back on their feet.

Nina mtoto wangu alipata Corona, mtoto wa kuzaa mimi, amejifungia kwenye chumba akaanza kujitibu, akanywa malimau na tangawizi, amepona yuko mzima sasa anapiga push up,” said President Magufuli during a church service.

The president, who has drawn criticism for being dismissive about the coronavirus outbreak and even ordered a three-day prayer period, has also hinted at reopening schools and allowing tourists back.

Magufuli while still insisting that Coronavirus is like any other disease, says that he will not allow the virus, which has shutdown the whole world and brought economies to their knees – to take over his country.

Hatuwezi kubali Corona itawale, Mungu wetu atatawala… tumekua na magonjwa kama ukimwi…,” he said.

Source: Citizentv.co.ke
 
Ipo lakini sio tukimbie! Ni kuchukua tahadhari na maisha yaendelee. Tujifunze tu kuishi nayo sababu bado iko iko sana.
 
Viongozi wa kiafrika wanapenda kuficha taarifa!

Boris Johnson, Waziri Mkuu wa Uingereza alipata na akatangaza mapema kabisa, leo baada ya dogo kupona ndo tunaambiwa! Huenda hiyo ndo sababu ya familia yote kuwa Chato hadi sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ktk kumbukumbu zangu taarifa ya huyo mtoto wa magu ilifahamika mbona labda hukufatilia.. hata hivyo sidhani kama ilikuwa na umuhimu maana huenda nae alikuwa kwenye zile takwimu..
 
Uingereza ilimpata hadi waziri mkuu lakini wakenya hamkuzuia waingereza kuingia Kenya.
Watanzania wanajua Corona ipo na tunaishi kwa kuchukua tahadhari,hakuna mtanzania aliesema kwamba Corona haipo,msije kuleta mambo ambayo hayapo.
 
Back
Top Bottom