Poleni Watanzania, kumbe Corona imegonga hadi Ikulu na kumuathiri mwanaye Rais

Poleni Watanzania, kumbe Corona imegonga hadi Ikulu na kumuathiri mwanaye Rais

Kwetu hatufichi, hata iingie kitandani ikulu tunaisema tu......Sasa huko mwanzoni mlikimbilia Chato na kusklizia kwanza kwa mbali...
Kwa ufupi wewe ni aina ya Wakenya wenye chuki kubwa na life style ya Watanzania.
Lakini Mungu ni mkuu sana tunadunda, tunawalisha, tuwaungisha sans bidhaa zenu na maisha yanasonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani wewe MK254 ni kibonzo mcheshi sana, napenda kuona Kinya wanategemea kikaragosi kama hiki kuwasemea.... unateseka sana bora uhamie tu TZ upate hifadhi pale kambi ya nduguzo wakimbizi.

Sleeping giants!!
 
Back
Top Bottom