Poleni Watanzania, kumbe Corona imegonga hadi Ikulu na kumuathiri mwanaye Rais

Corona ipo ila ni vijimafua visivyo na madhara hata chembe kwa binadamu kwa ufupi havina uwezo hata wa kuua panya
 
Sasa wewe kwani kina siku yoyote Magufuli alisema haamini kama corona ipo! ?

Nyie ndo wale wale tu!! Na uhuru naona awafungie tu na Internet maana porojo nyingi sana humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ikulu iko wapi?
Hata chato alipo sasa hivi, si mnasema ni ikulu..!?
Nadhani wewe ndie pengine hujui, idiot thrice!


Sent from my iPhone using JamiiForums
Acha ungese
 
Makungwi kama nyie Saiz mkitoa uzi hatucomment
 
Uingereza ilimpata hadi waziri mkuu lakini wakenya hamkuzuia waingereza kuingia Kenya.
Watanzania wanajua Corona ipo na tunaishi kwa kuchukua tahadhari,hakuna mtanzania aliesema kwamba Corona haipo,msije kuleta mambo ambayo hayapo.

Umeona raia gani wa UK wakiingia Kenya kiholela, nyie kama tungecheka nanyi mngetuambukiza balaa lenu, Watanzania 78 kwa siku moja wote corona halafu walikua wanang'ang'ania kuachiwa waingie Kenya, bora hivyo walishtukiwa na kuachwa warudi kwao huko muambukizane mpaka muelewane wenyewe.

Kwa sasa hivi hamna cha undugu wala nini, kila mtu ahangaikie kwao huko, nimependa sana hotuba ya waziri wenu wa afya, naona akili imewaingia, sasa madereva wa kila nchi wanafika mpakani na kubadilishana, gari linapulizwa kabisa kote, funguo zinaoshwa, yaani tuonane kwa misingi hiyo. Hapo hutaskia tukilalamika, ilmradi mnabaki huko huko na sisi madereva wetu huku huku.
Tulikua na kesi za madereva wetu wakiingia Tanzania wanageuza na corona. Sasa ni mwendo wa kila mtu kwao na shida zake na mahangaiko yake. Mkidumisha hivyo halafu msikie tukiendelea kuwasema basi ujue tutakua na matatizo kwenye akili zetu.

Nimeona ndio hatua ambazo zimechukuliwa na majirani zenu wote, mbaki ndani kwenu na balaa lenu.
 
Unaeongea sijui kama lunch Leo umekula,,,,Lockdown sio rahisi kama KUNYA
 
Afu kingine nan kawaambia corona inasambaa usiku ad muwahi kulala kama kuku,,,je corona ni chinjachinja,au ni au kibaka.? Uo ni umama kuwashauri chukueni za magu Ila msichanganye na za kwenu maana mnawaz MATOPE
 
Kaka ebu tuweni wakweli... lockdown Kenya inawasaidia nini? Au mnatafuta misaada Kwa wazungu?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiswahili ni janga kuu Kenya

Eti "mtoto wa kuzaa....."

Magufuli amesema "mtoto wangu wa kumzaa..."

Ni bora mbaki kwenye kijaluo na kikikuyu tu.
 
Ni Mwendo wa Nyungu Mwanzo Mwisho mpaka kieleweke.
 
Yule jamaa alorekodi wale wachina polisi wakaanza kumsaka alikuwa anarekodi akiwa uwanja wa ndege wa hong kong au ?
Halafu kwa taarifa yako huku Tanzania hali ni salama kabisa,Arusha hadi Nairobi ni masaa sita tu,hivi unakwamba wapi ?
 
risala za rambi rambi kwa Mh. dkt J.P Maghufuli kwa kumpoteza dada yake.

 
Nakuona mama la mama" Vipi umekula lakini? 😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…