Poleni Watanzania, kumbe Corona imegonga hadi Ikulu na kumuathiri mwanaye Rais

"Duniya ina ajabu ... Tanzania wana Magufuli lakini amewaachiya uhuru , Kenya tuko na Uhuru lakini ndio katupiga magufuli ..." πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wakenya wanatumiwa vibaya na mabeberu.
jana dereva wa kiganda aliepimwa kenya na kukutwa na korona alivofika kwao ug amepimwa tena na kukutwa hana korona!

Wakenya acheni kutumika!"

Hata wale madereva 78 kutoka tz waliosema wanakorona ni uzushi mtupu!

Kuishi na jirani mnafiki huku mkilazimisha undugu ni shida saaana!

Bora magufuli ajenge ukuta kwenye mpaka na kenya"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Corona ilipomshika Mme wenu Boris Johnson, hakushangilia au kushangaa,ila kwa Magufuli,imekuwa Headline kwenu!
 
Corona ilipomshika Mme wenu Boris Johnson, hakushangilia au kushangaa,ila kwa Magufuli,imekuwa Headline kwenu!

Leo madereva Watanzania 51 wamegunduliwa na corona, na wote walikua wanang'ang'ania kuingia Kenya, juzi waligunduliwa 78.
Mnataka kutuletea balaa lenu hilo, mbaki huko huko muambukizane hadi mtie akili, yaani mpaka sasa kuna baadhi yenu bado mnafikiri hiki kirusi kimebuniwa dhidi ya Watanzania pekee yenu.

Rais wenu anasema madereva waachiwe waingie kwenye mataifa majirani kisa wamejiendesha wenye kilomita 1,000
 
Vipi kuhusu kuombwa rushwa ya ksh 3,000 ili wasiandikiwe cheti cha corona, hili unaliongeleaje?
Mmejaa rushwa hadi kwenye ugonjwa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi kuhusu kuombwa rushwa ya ksh 300 ili wasiandikiwe cheti cha corona, hili unaliongeleaje?
Mmejaa rushwa hadi kwenye ugonjwa!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sina habari na hilo na kama kweli linatendeka itakua upumbavu uliopitiliza, haya mapolisi yatatumaliza huwa washenzi sana nahisi kuyachukia, kuruhusu Watanzania waingie Kenya kiholela yaani ndio kwisha yetu, Watanzania washajichokea kisa umaskini na kuamua wakujifia ajifie na wa kupona apone huko mbele, tusifike huko jameni.
 
Wakenya siku zote ni walafi, mmekuwa na tabia ya kuwaandikia vyeti vya corona wasio na ksh. 2,000 hadi 3,000. Na mwenye nayo anapita na hana corona.
Kwa tabia hii inanipa wasiwasi kuwa takwimu za madereva wetu ni za kupika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Ulafi wa hela ni kitu cha kawaida kwa binadamu na ndio maana unaona ndugu zako hawa wanaacha kwao huko wanakuja kutuomba omba pesa kwenye barabara zetu

 
Kenya ukiwa na kitu kidogo cha kupeana unaweza fanya chochote.

 
Ulafi wa hela ni kitu cha kawaida kwa binadamu na ndio maana unaona ndugu zako hawa wanaacha kwao huko wanakuja kutuomba omba pesa kwenye barabara zetu

Hii video huwa unaitumia kama Relief kila ukipata kibano, umeupload humu mara nyingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulifurahia kuingia Ikulu Tz, sasa ipo jokoni kwa Kenyatta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…