Kwa ufupi wewe ni aina ya Wakenya wenye chuki kubwa na life style ya Watanzania.
Lakini Mungu ni mkuu sana tunadunda, tunawalisha, tuwaungisha sans bidhaa zenu na maisha yanasonga
Yaani wewe MK254 ni kibonzo mcheshi sana, napenda kuona Kinya wanategemea kikaragosi kama hiki kuwasemea.... unateseka sana bora uhamie tu TZ upate hifadhi pale kambi ya nduguzo wakimbizi.