Uchaguzi 2020 Polepole acha kuruka viunzi, tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani

Ujinga gani? ilihali kila kukicha naona masoko yanapanuka kwa wingi wa wafanyabiashara.

Kwamba mtu akifunga bishara chanzo Ni Magufuli?wacheni maneno ya kuokoteza vijiweni
Wewe ni mjinga alafu mse...ng. Yaani hujui mzunguko wa pesa ni muhimu kwa uchumi wa taifa! Kama hauna wateja biashara itakuwa hai?
 
Mkuu acha kujitoa ufahamu kwa jina la "siasa"...mbona bei ya fungu la muhogo haishuki bei na uhitaji umekuwa mkubwa hasa baabda ya wanaume kuanza kuitafuna kama dozi ya 2 X 3?
Mihogo inalika Dsm. Kama vile kipindi cha njaa.
 
Pole pole asiwaone waTanzania ni wajinga sana... Yeye anagombea nafasi ipi??
Tunataka tusikie kutoka kwa mgombea wao make yeye ndo so far kaiharibu nchi kwa umbumbumbu wake!!!
Hauziwi mtu mbuzi kwenye gunia...!!
28.10.2020 tunajambo letu...
 
Kwa hiyo wanachi kuishi maisha magumu huku hata kupata mlo ni shida sio ajenda? Au sababu mnawajibu waweke grisi?
 
baada ya makamanda kuonyeshwa "dokumenti" za bunge zinazohusu kupitishwa kwa bajeti za ujenzi wa Chato international airport, ununuzi wa ndege, ujenzi wa bwawa la kufua umeme la JK Nyerere nk sasa mmeamia kwenye "hela mfukoni" hahaha
Acha ubwege wew Kibwetele, hizo documents zisioneshwe bungeni kule waje wakuoneshe wakati huu wa Kampeni tena ni feki hizo ni documents za lumumba huko
 
Punguzeni ujinga... Style yenu ya kuendesha miradi mikubwa inaonesha nyie ni washamba tu... Mnaua sekta binafsi kwa akili zenu zilizojaa uji uji!!
 
Wewe ni mjinga alafu mse...ng. Yaani hujui mzunguko wa pesa ni muhimu kwa uchumi wa taifa! Kama hauna wateja biashara itakuwa hai?
mkuu matusi ya nini tushindane kwa hoja mbona matusi na vurugu ni imekuwa kama lugha yenu mama
 
Acha ubwege wew Kibwetele, hizo documents zisioneshwe bungeni kule waje wakuoneshe wakati huu wa Kampeni tena ni feki hizo ni documents za lumumba huko
Kusema document ni feki ilikuwa inatosha sana mkuu, sasa hayo matusi ya "bwege" na kibwetele yanongeza nini? Nikiwa mdogo niliwahi kuwa mvuvi, wavuvi huwa wana matusi bora kabisa sasa haya ya kwako ni ya kienyeji sana mbona?
 
Punguzeni ujinga... Style yenu ya kuendesha miradi mikubwa inaonesha nyie ni washamba tu... Mnaua sekta binafsi kwa akili zenu zilizojaa uji uji!!
sekta binafsi hyo ipi iliyouliwa tutajie tupe na evidence ndo maana ya great thinkers huwa hatukaririshwi mzee
 
Mambo ya hovyo ya ccm
Mambo ya hovyo ya ccm tumechoka tunataka mabadiliko.
 
ukitaka Polepole akimbie hadi avunjike miguu muulize mapato na matumizi ya ATCL na kwanini shirika halikaguliwi na CAG.
 
mkuu matusi ya nini tushindane kwa hoja mbona matusi na vurugu ni imekuwa kama lugha yenu mama
Sasa kama huna huruma kwa mama ntilie amabae wateja wake ni fundi ujenzi ambao sasa hawana kazi mitaani,maana watu hawajengi,hakuna mzunguko wa pesa mkubwa wewe si mpumbavu.
 
Mzee chama cha mapinduzi ni chama kinachozingatia sheria na mgawanyo wa madaraka ndani ya chama, siyo chama chenu ambacho kinamilikiwa na mtu mmoja msemaji yeye kila kitu yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…