Ettore Bugatti
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 4,123
- 8,242
Marekani na Tanzania wapi na wapi?maisha yashakuaga maraisi lini? we unadhan tanzania kuna maisha magumu? ulishawahi kufanya kazi anywhere kwenye states za marekani? ushawahi kulipishwa kodi 60% wewe? maisha magumu yaskie tu
Hiyo kauli yenu ya kusema 'mkipewa nchi' ni ya kijima sana mkuu.tatizo lenu ni hapo badala ya kujibu hoja mnajibu matusi na vurugu je mkipewa nchi nyie alafu akatokea mtu kama huyo lissu si mtamuua yeye mpaka na uko wake ote
sekta binafsi hyo ipi iliyouliwa tutajie tupe na evidence ndo maana ya great thinkers huwa hatukaririshwi mzee
Chakubanga ktk uubora wake kajifyatua akiliUnazungumzia mambo ambayo yapo wazi kama ukaguzi wa ATCL, deni la taifa, sera za majimbo za CHADEMA hizi ni hoja zipo wazi. Na mwananchi wa kawaida sasa ambae maisha yake yamekuwa duni haya masuala uliofafanua hayana msaada kwake.
Tunataka utuambie kwa nini maisha yamekuwa magumu uraiani na kwa nini CCM haisadii wananchi?
Watu wana maisha magumu wanashindia mihogo ya kukaanga. Biashara zimefungwa na watu wanashindwa kujiajiri maana hamna uwezo wa watu kununua, ndio maana biashara zinakufa. Mbona haya hujafafanua na kutoa majibu maana wananchi wana hali mbaya sana. Alafu unaleta tabasamu la kinafiki sababu wewe una uhakika wa maisha.
nasikitika sana nikisikia kauli kama hii kutoka kwa mtu ambae akifika nyumbani anaamkiwa shkamoo baba na kumtwa mme wa fulaniHiyo kauli yenu ya kusema 'mkipewa nchi' ni ya kijima sana mkuu.
Nyie ni akina 'nani' mpaka muwe na mamlaka ya kumpa mtu nchi?
Pathetic!
Mgawanyiko wa madaraka Kama milivyogawa madaraka kwa Katambi,Gwajima na wapumbavu wengine hapo CCM.mzee chama cha mapinduzi ni chama kinachozingatia sheria na mgawanyo wa madaraka ndani ya chama siyo chama chenu ambacho kinamilikiwa na mtu mmoja msemaji yeye kila kitu yeye
Punguani wewe.Biashara gani zimefungwa? Si ukute unazungumzia biashara za gongo na kutakatisha fedha.
mzee chama cha mapinduzi ni chama kinachozingatia sheria na mgawanyo wa madaraka ndani ya chama siyo chama chenu ambacho kinamilikiwa na mtu mmoja msemaji yeye kila kitu yeye
Kwenye UKOO wenu hata karanga za kukaanga hamjawahi kuuza mambo ya biashara utayajulia wapi?Biashara gani zimefungwa? Si ukute unazungumzia biashara za gongo na kutakatisha fedha.
dah ndugu yangu uko mkoa gani,maana nikipata muda leo nikiwa napita kwenye mirad ya ujenzi ntakuwa nakutumia picha nikianzia na hapa nilipo kwenye mradi wa yapi markez wa reli sijaona kama kuna mayanga wala masimba hapaMakandarasi binafsi wapo wapi kwenye miradi tofauti na Mayanga?? Bakhresa na makampuni/mashirika binafsi kila leo wanapunguza wafanyakazi na mengine kusitisha shughuli zao!!
Idadi ya fremu tupu mijini na vijijini huioni??? Idadi ya vijana jobless huioni?? Au kwa vile Magufuli kakupa shavu basi unafikiri all is well out there!! Fuatilia happiness index na ripoti za urahisi wa uwekezaji ndio utabaini nikisemacho. Shetwani mkubwa were!!
Wewe dada huwezi kuelewa mambo yalivyo mtaani, tulia mpikie mumeoBiashara gani zimefungwa? Si ukute unazungumzia biashara za gongo na kutakatisha fedha.
mbona leo ameongea mmoja tu mmechanganyikiwa kama vile wameongea 20 tulieni umma unatakiwa kuwafahamu vizuri ili wafanye maamuzi sahihi october sasa jifanyeni miamba mjibu tuwazike kabisa kwenye sanduku la kuraWananchi mtaani walalamika mnawachanganya... Mara mtukufu wenu aseme hivi... Mara nani adai lake...
Yaani nyie ni ukoo wa mafisi, mapanya na kwelea kwelea...
Uharibifu ndo asili yenu!!!
Kama ulisoma bora hata mzazi wako angepeleka ngombe shule...
Ngoja niendelee kukaa kijiweni nikisubiri deal za udalali wa magari za uongo na kweli labda zitanitoa.lijue leo huku ukiwa vijiweni unasubiria maisha yawe mepesi
Mijitu kama hii unakuta n mijuku ya Wassira kila kitu linapewa na babu yake.Kwenye UKOO wenu hata karanga za kukaanga hamjawahi kuuza mambo ya biashara utayajulia wapi?
kila mwanachama ndani ya ccm anayonafasi ya kugombea na kuchaguliwa kwenye nafasi yoyote siyo nyinyi wenye chama cha mtu fulani ambae chama mpka kitakufa yeye ndo mwenyekiti na mwenye kila kituMgawanyiko wa madaraka Kama milivyogawa madaraka kwa Katambi,Gwajima na wapumbavu wengine hapo CCM.
Huo ndo mgawanyo wa madaraka au siyo [emoji1][emoji1]
karibu kazini maana nashangaa inakuwaje wanyarwanda wapo interested sana na mambo yetu kuliko sisi tulivyo interested na mambo yenuNgoja niendelee kukaa kijiweni nikisubiri deal za udalali wa magari za uongo na kweli labda zitanitoa.
Kutawala watu wana maisha magumu sio ufahari. Unajua nini kilitokea Tunisia?mbona leo ameongea mmoja tu mmechanganyikiwa kama vile wameongea 20 tulieni umma unatakiwa kuwafahamu vizuri ili wafanye maamuzi sahihi october sasa jifanyeni miamba mjibu tuwazike kabisa kwenye sanduku la kura
mbona leo ameongea mmoja tu mmechanganyikiwa kama vile wameongea 20 tulieni umma unatakiwa kuwafahamu vizuri ili wafanye maamuzi sahihi october sasa jifanyeni miamba mjibu tuwazike kabisa kwenye sanduku la kura
mzee ningekuona wa maana kama usingekuwa unanijibu humu huku unalalamika hali ngumu wakati muda unaoupoteza sasa hiv ungekuwa unafnya kazi yoyote ya kukupa hata buku ya kulaKutawala watu wana maisha magumu sio ufahari. Unajua nini kilitokea Tunisia?
karibu kazini maana nashangaa inakuwaje wanyarwanda wapo interested sana na mambo yetu kuliko sisi tulivyo interested na mambo yenu