Kabisa!Kamshauri kwa hoja za maana sana
Safari hii kiki imemkubali huyuKada wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole hii leo Agosti 08, 2025 amemsihi Rais Samia Suluhu kutochukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akihoji anataka kwenda kushindana na Salum Mwalimu wa CHAUMMA,
"Unataka ukagombee na Salumu Mwalimu wa CHAUMMA ndio unapata amani ya moyo, unapata amani ya moyo kabisa, unapata amani ya moyo kabisa ukagombee na Luhaga Mpina wa ACT Wazalendo, kweli?" - Humphrey Polepole, Kada wa CCM.
Huyu kama ipo siku ataeleweka tu.Kada wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole hii leo Agosti 08, 2025 amemsihi Rais Samia Suluhu kutochukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akihoji anataka kwenda kushindana na Salum Mwalimu wa CHAUMMA,
"Unataka ukagombee na Salumu Mwalimu wa CHAUMMA ndio unapata amani ya moyo, unapata amani ya moyo kabisa, unapata amani ya moyo kabisa ukagombee na Luhaga Mpina wa ACT Wazalendo, kweli?" - Humphrey Polepole, Kada wa CCM.
Unaishi Maisha Magumu Ww Na Utabaki Hivyo Hivyo,.....
Mwenzako hela anazo ndio maana sio chawa. Wewe ndio unaishi maisha magumu, huoni umekuwa hadi chawa wa mama na life litakukong'ota utakuwa hadi kunguni mbwa wewe 😆😆Huyo nguchiro akashauri wapumbavu wenzake. Ataishi maisha magumu huyo mbwa koko
Wewe jina lako nani?Huyo nguchiro akashauri wapumbavu wenzake. Ataishi maisha magumu huyo mbwa koko
Hawanaga akili hao heti wenye akili kama hizo za matusi ndo utegemee wawe viongozi wamalize Umaskini wa mwananchi Tanzania ni mda wa kuanza upya woteMatusi ya nini?
Hamna kituNaona mtego wa kumnasa big fish wameuset kwenye uchukuaji wa fomu hiyo!!
Kazi na utu tunasongambele!
Hata huyo pole pole ana uchu wa madaraka!Alivyo na Uchu wa madarka bibi yule ,unadhani atafuata ushauri wake