GE2025 Polepole amshauri Rais Samia asichukue fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2025

GE2025 Polepole amshauri Rais Samia asichukue fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mbona wewe kwa comm
Pole pole mpumbavu sana
Ent hii unaonekana ni mwendawazimu wa kiwango cha juu kabisa!! Wenye akili timamu wanakubali au kupinga kwa hoja., ila wewe mwendawazimu umeropoka tu!! Pole sana kwa kukosa akili.
 
....halafu wakati huo mhusika anayestahili kukabidhiwa nchi baada ya kuchaguliwa na wananchi walio wengi kupitia sanduku la kura, amemuweka ndani kwa kesi ya mchongo! Na chama chake amekifanyia zengwe kufanya shughuli zake!!

Hii ni hatari sana.

Mama kwa anayoyafanya amedhihirisha yeye ni nyumba ya ibilisi..
 
Sijui kwa nini watu hawaelewi, ila huyu bibi ataenda kugombea na atashinda
Sio kwa sababu wananchi wanamkubali, ila kuna wizi wa kura utafanyika. Mnamu underrate sana Samia, huyu bibi ni muhuni kuliko mnavyodhania.... Ngoja tuone

Kwa jinsi ilivyo, sioni kama kuna mtu ataacha kufanya anayotaka kufanya. Tuliona kwenye bandari na mambo mengine kadhaa.

Kwahiyo, mara nyingine tuende kama tunavyoenda ili tufike kule ambako hali halisi itatufikisha. Kwa wema, tutafika kwema. Kwa uovu tutafika kubaya, halafu majuto atakuwa mjukuu.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Pole pole atawewuka mwaka huu. Form itachukuliwa na OCTOBER TUNATIKI ✅ ✅ KWA SAMIA SULUHU HASSAN
 
Polepole yupo sahihi - yaani uchaguzi Mkuu 2025 wewe ni wa kushindanishwa na Salum Mwalimu kweli jamani? Wengine nao wanamkwapua kiongozi dk ya 90 hata kabla hajaisoma katiba yao eti mgombea Urais, hebu tuwe serious kidogo watanganyika.
 
Huyu aandike maumivu hakuna chochote anachoweza kumzuia Samia akisikifanye kwa tiketi ya urais wa JMT.

Amlaumu bosi wake wa zamani hayati JPM kwa kumpa Samia umakamu mwaka 2015, maji yamekwisha kumwagika.

JPM angekuwa hai mpaka muda huu huyu asingekuwa hapo alipo hivi sasa. Hayo ni maisha ni mpango wa Mungu sio wa kibinadamu.
JPM aliwahi kusema hadharani nililetewa Makamu,chaguo lake lilikuwa ni Hussein.
 
Sasa alitaka agombee na nani?! Huyu polepole kachanganyikiwa.
Nchi inaongozwa kwa katiba na sheria sio matakwa ya Rais.
Lisu kavunja sheria za nchi mchana kweupe ndio maana yuko korokoroni akisubiria mashtaka yake mbele ya mahakama, sasa Wewe polepole unamtaka Rais amroe out Lisu ili aje agombee kukuridhisha wewe na genge la wahuni!!!! ajabu kabisa.

Kwani Salum Mwalimu, Luhaga Mpina na wagombea wengine wa vyama vya upinzani sio watu wa kushindana na ccm hadi awepo Lisu?!! upuuzi huu.

Lisu mwenye kapora chama kutoka kwa mbowe. Chadema yenyewe imekufa.

Dkt Samia Suluhu Hassan atagombea na vyama vyote vya upinzani vilivyo simamisha wagombea uraisi.
 
Ni muda wa wizara ya sheria kuandaa mwanasheria mmoja atoe darasa la bure kupitia kipindi kimoja pale TBC, ili kutoa darasa kwa umma unaomsikiliza Pole Pole na hoja zake.

Msingi ukiwa mmbovu sehemu yote inayofuatia katika mchakato wa ujenzi inakuwa dhaifu pia.
 
Tuna Muunga mkono Rais Samia katika hatua hii .
 
Sijui kwa nini watu hawaelewi, ila huyu bibi ataenda kugombea na atashinda
Sio kwa sababu wananchi wanamkubali, ila kuna wizi wa kura utafanyika. Mnamu underrate sana Samia, huyu bibi ni muhuni kuliko mnavyodhania.... Ngoja tuone
Hana uhuni wowote
Waliomzunguka ndio master minders ni wahuni wenye big brains
 
Sijui kwa nini watu hawaelewi, ila huyu bibi ataenda kugombea na atashinda
Sio kwa sababu wananchi wanamkubali, ila kuna wizi wa kura utafanyika. Mnamu underrate sana Samia, huyu bibi ni muhuni kuliko mnavyodhania.... Ngoja tuone
Anagombea na nani? Hilo ndio swali la msingi kabla ya secondary.
 
Hahaha aliishajiita chura kiziwi iweje leo mdhani atayasikia ma ushauri ya Polepole?
 
Sijui kwa nini watu hawaelewi, ila huyu bibi ataenda kugombea na atashinda
Sio kwa sababu wananchi wanamkubali, ila kuna wizi wa kura utafanyika. Mnamu underrate sana Samia, huyu bibi ni muhuni kuliko mnavyodhania.... Ngoja tuone
Akigombea na Salim mwalimu hakuna kura zitakazoibiwa
 
Wakikandwa ndo wanajifanya ma motivational speakers! Eti mwingine nae kapokelewa huko kuwa mgombea urais 🚮
Hii ni duniani kote ipo hivyo msimbeze Polepole. Watu wanaovujishaga siri za ndani uwa ni wale wale waliokua kwenye mfumo baada ya kuonesha kutoridhika ndio uwa wanatoa siri zote. Maana hauwezi kuchukua mturumbi au mzaramo wa Maneromango akakupa nyepesi nyepesi za watu kama Rostam Aziz. Polepole kwa sasa ndo habari ya mujini.
 
Back
Top Bottom