misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Kabisa wa hovyo sanaHawanaga akili hao heti wenye akili kama hizo za matusi ndo utegemee wawe viongozi wamalize Umaskini wa mwananchi Tanzania ni mda wa kuanza upya wote
Kabisa wa hovyo sanaHawanaga akili hao heti wenye akili kama hizo za matusi ndo utegemee wawe viongozi wamalize Umaskini wa mwananchi Tanzania ni mda wa kuanza upya wote
Sijui kwanini wanambeza huyu jamaa eti sababu alikua wapi kipindi Cha jpm, Sasa nasemaga mtu akiamua kujirudi akili zake sababu ya kukosa ulaji ama chochote chenye manufaa kwake au kujirudi kwa kutubu kumrudia Mungu n.k, ni aheri inakua msaada kwa watanzania kupata Haki ya kujua yote yanayoendelea kwenye nchi yao na wafanye maamuzi kwa mustakabali wa nchi yao kutokana na wanayosikia kwa watu wa aina ya polepole...demokrasia utawala Bora uchumi imara ..na kwa sasa Hadi wamama wa sokoni Wana smartphone utamdanganya nani ..jana wamama wa sokoni wanaulizana spika msaafu hata barabara ya kwenda kwake Ina vumbi alikua anafanya nini miaka yote ya ubunge na uspika..Kamshauri kwa hoja za maana sana
Shame to herKada wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole hii leo Agosti 08, 2025 amemsihi Rais Samia Suluhu kutochukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akihoji anataka kwenda kushindana na Salum Mwalimu wa CHAUMMA,
"Unataka ukagombee na Salumu Mwalimu wa CHAUMMA ndio unapata amani ya moyo, unapata amani ya moyo kabisa, unapata amani ya moyo kabisa ukagombee na Luhaga Mpina wa ACT Wazalendo, kweli?" - Humphrey Polepole, Kada wa CCM.
Acha kuongea utumbo we maku!...Pole pole mpumbavu sana
Mnaweza mkamlaumu mama,kumbe naye anapewa maelekezo na mfumo nini afanye.Viapo vinabeba mambo mengi,kwani mfano asipogombea inadhaniwa nini atapungukiwa maana kama ni malipo ataendelea kupata pamoja na stahki zake nyingine.Tatizo ukute ni wale ambao wapo kwenye nafasi za uteuzi,wanajiuliza akija mwingine si atateua wengine,na wao wasugue benchi kama akina Kalemagi na wengine?Alivyo na Uchu wa madarka bibi yule ,unadhani atafuata ushauri wake
Huyu jamaa ana akili kubwa sana CCM wakisikiliza plan aliyowapa hakika watakwenda kuchukua nchi kwa kishindo na kiuhalali kabisa.Kada wa chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole hii leo Agosti 08, 2025 amemsihi Rais Samia Suluhu kutochukua fomu ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania huku akihoji anataka kwenda kushindana na Salum Mwalimu wa CHAUMMA,
"Unataka ukagombee na Salumu Mwalimu wa CHAUMMA ndio unapata amani ya moyo, unapata amani ya moyo kabisa, unapata amani ya moyo kabisa ukagombee na Luhaga Mpina wa ACT Wazalendo, kweli?" - Humphrey Polepole, Kada wa CCM.
Polepole katika awamu ya ya JPM alishiriki na kujua kwamba kiongozi wake alikuwa anateka watu alafu akakaa kimya?Sijui kwanini wanambeza huyu jamaa eti sababu alikua wapi kipindi Cha jpm, Sasa nasemaga mtu akiamua kujirudi akili zake sababu ya kukosa ulaji ama chochote chenye manufaa kwake au kujirudi kwa kutubu kumrudia Mungu n.k, ni aheri inakua msaada kwa watanzania kupata Haki ya kujua yote yanayoendelea kwenye nchi yao na wafanye maamuzi kwa mustakabali wa nchi yao kutokana na wanayosikia kwa watu wa aina ya polepole...demokrasia utawala Bora uchumi imara ..na kwa sasa Hadi wamama wa sokoni Wana smartphone utamdanganya nani ..jana wamama wa sokoni wanaulizana spika msaafu hata barabara ya kwenda kwake Ina vumbi alikua anafanya nini miaka yote ya ubunge na uspika..
Say it once again buddy!Polepole katika awamu ya ya JPM alishiriki na kujua kwamba kiongozi wake alikuwa anateka watu alafu akakaa kimya?
Polepole huyu huyu alishiriki kuua upinzani aliwatisha viongozi kadhaa wa CDM kuhamia kijani kuunga juhudi la sivyo kushughulikiwa!!
Polepole huyu huyu alijinadi na story ya Ma Vietee...akatuuliza
“Viete anaijua viete?”...🙌🏿
Polepole ni loser anayetafuta followers kwa issue za kubuni. Rais Samia amefanya makubwa sana kusafisha taasisi iliyochafuliwa na Magufuli na genge lao. Japo hajamaliza kusafisha lakini kazi kubwa imefanyika kuleta heshima ya nchi.Say it once again buddy!
Thank you very much.
People who live in glass houses shouldn’t throw stones.Polepole katika awamu ya ya JPM alishiriki na kujua kwamba kiongozi wake alikuwa anateka watu alafu akakaa kimya?
Polepole huyu huyu alishiriki kuua upinzani aliwatisha viongozi kadhaa wa CDM kuhamia kijani kuunga juhudi la sivyo kushughulikiwa!!
Polepole huyu huyu alijinadi na story ya Ma Vietee...akatuuliza
“Viete anaijua viete?”...🙌