GE2025 Polepole amshauri Rais Samia asichukue fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kamshauri kwa hoja za maana sana
Sijui kwanini wanambeza huyu jamaa eti sababu alikua wapi kipindi Cha jpm, Sasa nasemaga mtu akiamua kujirudi akili zake sababu ya kukosa ulaji ama chochote chenye manufaa kwake au kujirudi kwa kutubu kumrudia Mungu n.k, ni aheri inakua msaada kwa watanzania kupata Haki ya kujua yote yanayoendelea kwenye nchi yao na wafanye maamuzi kwa mustakabali wa nchi yao kutokana na wanayosikia kwa watu wa aina ya polepole...demokrasia utawala Bora uchumi imara ..na kwa sasa Hadi wamama wa sokoni Wana smartphone utamdanganya nani ..jana wamama wa sokoni wanaulizana spika msaafu hata barabara ya kwenda kwake Ina vumbi alikua anafanya nini miaka yote ya ubunge na uspika..
 
Wakikandwa ndo wanajifanya ma motivational speakers! Eti mwingine nae kapokelewa huko kuwa mgombea urais 🚮
 
Shame to her
 
Alivyo na Uchu wa madarka bibi yule ,unadhani atafuata ushauri wake
Mnaweza mkamlaumu mama,kumbe naye anapewa maelekezo na mfumo nini afanye.Viapo vinabeba mambo mengi,kwani mfano asipogombea inadhaniwa nini atapungukiwa maana kama ni malipo ataendelea kupata pamoja na stahki zake nyingine.Tatizo ukute ni wale ambao wapo kwenye nafasi za uteuzi,wanajiuliza akija mwingine si atateua wengine,na wao wasugue benchi kama akina Kalemagi na wengine?
They have their future plans.
 
Huyu jamaa ana akili kubwa sana CCM wakisikiliza plan aliyowapa hakika watakwenda kuchukua nchi kwa kishindo na kiuhalali kabisa.

1.Wamtoe bwana yule,
2.Waitishe reforms,
3.Mama samia akisafishe chama wapate mgombea mpya asiye na makando kando.

waTZ hawawezi kuipigia kura ya ndio CDM huo ndio uhalisia maana wanafahamu kabisa ni wazi CDM bado hawajafikia uwezo wa kuiongoza hii nchi sema ni vile tu WaTZ wana hasira na haya yasiyofaa yanayoendelea nchini ila mioyoni mwao wanajua kabisa CDM bado haijakidhi vigezo.

Bwana yule anahitajika sana kwaajili ya upinzani ili kuiweka inchi kwenye mstari iwe na hofu ipate kutenda yaliyobora lakini ni wazi hafai kuwa mkuu wa nchi.
 
Polepole katika awamu ya ya JPM alishiriki na kujua kwamba kiongozi wake alikuwa anateka watu alafu akakaa kimya?

Polepole huyu huyu alishiriki kuua upinzani aliwatisha viongozi kadhaa wa CDM kuhamia kijani kuunga juhudi la sivyo kushughulikiwa!!

Polepole huyu huyu alijinadi na story ya Ma Vietee...akatuuliza
“Viete anaijua viete?”...🙌🏿
 
Kwani nani kasema Samia anakwenda kuchukua fomu kesho? Uchaguzi ndani ya Chama si umefanyika tayari?
 
Bibi Kizimkazi na Urais,yupo tayari afie kwenye kiti!!
 
Say it once again buddy!
Thank you very much.
 
Say it once again buddy!
Thank you very much.
Polepole ni loser anayetafuta followers kwa issue za kubuni. Rais Samia amefanya makubwa sana kusafisha taasisi iliyochafuliwa na Magufuli na genge lao. Japo hajamaliza kusafisha lakini kazi kubwa imefanyika kuleta heshima ya nchi.
 
People who live in glass houses shouldn’t throw stones.
 
Mama kajiandaa tangu 2021,kawekeza nguvu zake nyingi lao umshauri asigombee atakubali kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…