GE2025 Polepole amshauri Rais Samia asichukue fomu ya kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
kwani kibaka wa siasa hamprey polepole,
anasema katiba ya Tanzania inaelekeza nani agombee urais na nani?🐒
 
Huyu aandike maumivu hakuna chochote anachoweza kumzuia Samia akisikifanye kwa tiketi ya urais wa JMT.

Amlaumu bosi wake wa zamani hayati JPM kwa kumpa Samia umakamu mwaka 2015, maji yamekwisha kumwagika.

JPM angekuwa hai mpaka muda huu huyu asingekuwa hapo alipo hivi sasa. Hayo ni maisha ni mpango wa Mungu sio wa kibinadamu.
 
2020 mpaka 2025 na probably mpaka 2030 watanzania hatutoisahau kwenye historia ya nchi hii
 
Leo kapata wapi uhalali wa kumshauri Rais aliyepo kikatiba kuachia madaraka!. Angekuwa bosi wake wa zamani yupo ikulu angeweza kufanya haya anayoyashauri yafanyike?.

Huyu anawakilisha kundi la maadui wa Samia wa tangu JPM alipoaga dunia mwaka 2021.

Hoja yake kwamba Samia apishe urais kwani hayupo kihalali haina mashiko kwani katiba haimzuii makamu wa rais kushika madaraka pindi rais akiaga dunia. Pia haimzuii Rais wa sasa kugombea urais akiwa amekaa ikulu kwa miaka minne.
 
Haahaa, mbaya zaidi mpinzani wa kweli kabambikiwa kesi ya uhaini
 
Ulitaka agombee na nani?
 
Anavyosema anaijua ACT mara mbili mbili kuwa ni ya nani maana yake anajua ndio tawi la CCM.
 
Nilisema taratibu nimpumbavu kabisaaa kama anaonaje ajitokeze yeye bado kunavyama havijakuwa na wagombea muda bado upo aone chamoto muhuni pl
 
Huyu kama ipo siku ataeleweka tu.
Mpina ccm, Salimu Mzanzibari, maana yake Aachiwe TL mabadiriko yafanyike apate washindani halisi.
Kumbe andamaneni mfute hivyo vyama vingine wahuni wanamsaport mkosa adabu anaechukizwa na uislamu
 
Polepole ndiye man of the match hadi sasa mwaka huu, hoja zake zinaeleweka kwa urahisi na kuwafikia watu. CHADEMA wana kila sababu ya kujifunza jambo hapa.

Ova.
 
Polepole ndiye man of the match hadi sasa mwaka huu, hoja zake zinaeleweka kwa urahisi na kuwafikia watu. CHADEMA wana kila sababu ya kujifunza jambo hapa.

Ova.
Anawapasua kama nuklia
 
Huyu Jamaa🙌
Ni jasiri
 
....halafu wakati huo mhusika anayestahili kukabidhiwa nchi baada ya kuchaguliwa na wananchi walio wengi kupitia sanduku la kura, amemuweka ndani kwa kesi ya mchongo! Na chama chake amekifanyia zengwe kufanya shughuli zake!!

Hii ni hatari sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…