Ent hii unaonekana ni mwendawazimu wa kiwango cha juu kabisa!! Wenye akili timamu wanakubali au kupinga kwa hoja., ila wewe mwendawazimu umeropoka tu!! Pole sana kwa kukosa akili.Pole pole mpumbavu sana
....halafu wakati huo mhusika anayestahili kukabidhiwa nchi baada ya kuchaguliwa na wananchi walio wengi kupitia sanduku la kura, amemuweka ndani kwa kesi ya mchongo! Na chama chake amekifanyia zengwe kufanya shughuli zake!!
Hii ni hatari sana.
Sijui kwa nini watu hawaelewi, ila huyu bibi ataenda kugombea na atashinda
Sio kwa sababu wananchi wanamkubali, ila kuna wizi wa kura utafanyika. Mnamu underrate sana Samia, huyu bibi ni muhuni kuliko mnavyodhania.... Ngoja tuone
Hiki ndicho alichokimaanisha bwana slow slow🤣Kweli??unashindana na ACT ambayo ni KIBARAKA wetu
Pole pole mpumbavu sana
JPM aliwahi kusema hadharani nililetewa Makamu,chaguo lake lilikuwa ni Hussein.Huyu aandike maumivu hakuna chochote anachoweza kumzuia Samia akisikifanye kwa tiketi ya urais wa JMT.
Amlaumu bosi wake wa zamani hayati JPM kwa kumpa Samia umakamu mwaka 2015, maji yamekwisha kumwagika.
JPM angekuwa hai mpaka muda huu huyu asingekuwa hapo alipo hivi sasa. Hayo ni maisha ni mpango wa Mungu sio wa kibinadamu.
Alisema alikuwa na machaguo mawili, Mwinyi au Samia. Mwinyi akaenda kuwa rais kule Zanzibar Samia akawa makamu wa rais.JPM aliwahi kusema hadharani nililetewa Makamu,chaguo lake lilikuwa ni Hussein.
Hana uhuni wowoteSijui kwa nini watu hawaelewi, ila huyu bibi ataenda kugombea na atashinda
Sio kwa sababu wananchi wanamkubali, ila kuna wizi wa kura utafanyika. Mnamu underrate sana Samia, huyu bibi ni muhuni kuliko mnavyodhania.... Ngoja tuone
Anagombea na nani? Hilo ndio swali la msingi kabla ya secondary.Sijui kwa nini watu hawaelewi, ila huyu bibi ataenda kugombea na atashinda
Sio kwa sababu wananchi wanamkubali, ila kuna wizi wa kura utafanyika. Mnamu underrate sana Samia, huyu bibi ni muhuni kuliko mnavyodhania.... Ngoja tuone
Akigombea na Salim mwalimu hakuna kura zitakazoibiwaSijui kwa nini watu hawaelewi, ila huyu bibi ataenda kugombea na atashinda
Sio kwa sababu wananchi wanamkubali, ila kuna wizi wa kura utafanyika. Mnamu underrate sana Samia, huyu bibi ni muhuni kuliko mnavyodhania.... Ngoja tuone
Hii ni duniani kote ipo hivyo msimbeze Polepole. Watu wanaovujishaga siri za ndani uwa ni wale wale waliokua kwenye mfumo baada ya kuonesha kutoridhika ndio uwa wanatoa siri zote. Maana hauwezi kuchukua mturumbi au mzaramo wa Maneromango akakupa nyepesi nyepesi za watu kama Rostam Aziz. Polepole kwa sasa ndo habari ya mujini.Wakikandwa ndo wanajifanya ma motivational speakers! Eti mwingine nae kapokelewa huko kuwa mgombea urais 🚮