Polepole amshukia Hashim Rungwe Sipunda kama mwewe, ashangaa wamejitoa wapi wakati hawakuwemo kwenye uchaguzi

Pole pole atujibu kwanza vile vyama 11 vilivyosema vitashiriki vilikuwa na wagombe waliochukua na kurudisha form? Je vina ofisi huko mikoani, Wilayani, Tarafani na kata kama anavyowachagiza CHAUMA na Mh. Rungwe?

Ache unafiki huyu div zero ya form 6. Au hajui Ndugai kasema failures kama yeye wasipewe nafasi fulani fulani sababu ya ujinga vichwani mwao?
 
Yeye Chakubanga ni msimamizi wa uchaguzi??

Tuanzie hapo kwanza.
 
Mbn hajawashangaa wale TLP waliosema watashiriki wakat nao hawana mwanachama hata mmoja wala nao hawakupata kura. Pia ajue kushiriki sio tu kupigiwa kura Bali hata kupiga kura ni kushiriki. #Kukiwa na Tume huru ya uchaguzi CCM kijiandae kukabidhi madaraka by H. Polepole
 
Kushiriki ni kupiga na kupigiwa kura.....hapo nimekuelewa bwashee!
 
Kuna siku nilicheka sana, nikasema hiiiii kazi IPO.

Tukiwa zetu msibani kukaibuka mjadala wa kisiasa kwa wenyeji wetu, jamaa mmoja alisema yeye ni Chadema akaeleza kuwa katika mtaa wake alihamasisha sana watu kujiandikisha na mpaka wanafunga zoezi walifikisha watu 940.

Mara katibu wa Ccm wa kata akamwambia si 940 bali walifika 1250, Yule jamaa wa Chadema nikaona amejishika kichwa, kwa upole jamaa akasema "ccm mna nini lakini, yaani tumefunga kituo jioni wote vizuri tukiwa na 940 Leo mnasema wamefika 1250 ......! Hao 310 mliwaandikisha saaa ngapi..! Kwa wizi huu wa wazi nashauri tuwaachie uchaguzi mshiriki wenyewe, tutamaliza yebo kutembelea watu lakini kwa wizi hata nusu hatutaambulia" mwisho wa kunukuu.
 
hicho cheo kumpa chakupanga fwisiem mliingia chaka

hasa hayo anayoongea yeye amekuwa waziri wa tamisemi?
 
Hasheem RUngwe ana Maisha mazuri kuliko huyo Polepole mganga njaa.
 
Atuombe radhi sisi wafuasi wa chauma hatutakubali mwenyekiti wetu kudharuliwa
 
Nasikitika sana kwa chama changu CCM kuwa na viongozi walio na uwezo usioridhisha katika propaganda kama hawa tulionao!


Yani naangalia hapa mahusiano ya Katibu Mwenezi wa Siasa Itikadi na Uenezi Komredi Humphrey Polepole ni kama anafanya maigizo!

Mizaha mizaha mingi, kuongea kwa juu juu katika maswala magumu ya kitaifa kama Uchaguzi!


Huyu anaongea utadhani anaongea na watoto wa chekechea, anakiaibisha chama!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…