Polepole amshukia Hashim Rungwe Sipunda kama mwewe, ashangaa wamejitoa wapi wakati hawakuwemo kwenye uchaguzi

Polepole amshukia Hashim Rungwe Sipunda kama mwewe, ashangaa wamejitoa wapi wakati hawakuwemo kwenye uchaguzi

😂😂 Hashim Rungwe kwa kupenda kiki, hahaa ili mradi asikike nasikia ofisi yake yeye ni Mwenyekiti na mwanachama hana wafanyakazi hata mmoja wala ofisi nyingine yoyote ni hiyo moja tu.. Haaa
 
Hivi huyo polepole yuko chama kimoja na rungwe au vipi
Ni mnafiki fulani aliyejitoa ufahamu ili kujaza tumbo lake.
1572191514899.jpeg
 
Mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amesema anamshangaa sana mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda kwa kudai chama chake kimejitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Polepole amesema CHAUMMA hakikuwepo kwenye uchaguzi kwa sababu hakuna mwanachama hata mmoja wa chama hicho aliyechukua fomu za kugombea.

Kadhalika chama hicho hakikupata kura hata moja katika uchaguzi wa mwaka 2015.

Pia CHAUMMA hawana ofisi Mikoani, Wilayani wala kwenye Kata sasa wanajitoa kutokea wapi?......ameuliza na kushangaa ndugu Polepole.

Chanzo: Channel ten tv

Maendeleo hayana vyama!
Je ni kweli kwamba njaa haina baunsa ?
 

Attachments

  • Apandacho mtu ndicho atakachovuna ( 268 X 480 ).mp4
    370.1 KB
Hiki kijamaa kikinyanganywa hicho cheo kitaanza waponda
 
Back
Top Bottom