Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
Kwanini anakwepa hoja kwa kumrukia Spunda na CHAUMMA yake ambacho hakna Mbunge wala balozi wa mtaa au kitongoji?Amesemaje kuhsu vyama vingine 16 vinavo shiriki lakini pia havina Mbunge,Diwani wala m/kiti kitongoji k.m.chama cha Dovutwa n.k.
Lakini pia hajajibu hoja za ACT Wazalendo,CHADEMA,NCCR Mageuzi na CUF vyama venye Wabunge ambavo ndo vimeathirika zaidi na kuenguliwa kwa Wagombea wao?
Lakini pia hajajibu hoja za ACT Wazalendo,CHADEMA,NCCR Mageuzi na CUF vyama venye Wabunge ambavo ndo vimeathirika zaidi na kuenguliwa kwa Wagombea wao?