Polepole amshukia Hashim Rungwe Sipunda kama mwewe, ashangaa wamejitoa wapi wakati hawakuwemo kwenye uchaguzi

Eti hakupata kura hata moja, wakati mchubgaji wangu Wa geita aliniambia yeye alimpigia kura HASHIM na hata Mimi nilimpigia kura ...ila kweli hawa jamaa ni........
Duh kumbe ni wewe mshenga wangu NAKWEDE
 
Polepole hana adabu kwa watanzania na wala hajiheshimu.
Amerudia mara kadhaa
Chama cha bwana Mbowe
Chama cha bwana Kabwe
Chama cha bwana Lipumba
Chama cha bwana Mbatia
Chama cha bwana Hashm Rungwe

Hivi kuna chama cha mtu ? Au taasisi!

Mthalani anaweza kusema chama cha bwana Magufuli?
 
CCM imeshachemka yaani wameshikwa sehemu nyeti., hili zigo ni lao cha msingi wasaidiane kulibeba kwa zamu zamu.
 
Polepole ni msemaji wa chama hajakosea kumjibu
Hakudanganywa!! wa kumshangaa ni huyo aliejibu wakati sio msimamizi wa uchaguzi. wasimamizi ndio walipaswa kujibu hayo badala ya Polepole...
Tuna kazi kubwa sana ya elimu nchi hii......
 
Tunashiriki Chaguzi kwa kuwaza, maneno na vitendo.
Hata kama hawana mgombea Ila wangeshiriki kwa namna moja ama nyingine.
Hata kwa kuombea tu uchaguzi ufanyike Salama na tupate viongozi sahihi ni kushiriki.
Kushiriki uchaguzi kunaenda hata baada ya uchaguzi, kwani viongozi chaguliwa wanahitaji ushirikiano wa wananchi wote bila kujali itikadi zao ili kufanikisha malengo, sasa tusiposhiriki na kubariki yatokanayo, ushirikiano na viongozi utatoka wapi?.
Nafikiri tulipofikia busara na hekima vitawale kuliko kujifanya hodari wa kuongea na kuzodoana.
Kwenye katiba mpya wenzenu walijitoa hivi hivi, mkajimwambafayaaa kuwa mnasonga mbele- yako wapi?. Mkwamo wa hatari. Sijui kwa sheria gani mchakato ulisimama na sijui kwa taratibu zipi utaendelea.
NAWASHAURI wanaCCM wachutame tu katika hili, maneno mbofu mbofu haitasaidia.
 
Kumbe chama ambacho kilikuwa hakina wagombea hakiwezi kujitoa isipokuwa chama chenye wagombea kinaweza kikajitoa isipokuwa wagombea wa chama kilichojitoa wanaendelea kuwa wagombea halali wa chama kilekile kilichojitoa.
 
dj anawadanganya wenzie sana tu unaona hata kwenye kesi kishawageuka anasema hakuwepo inamaana kawaluka wenzie wafe peke yao
 
Alimuelewa Huyu jamaa aweke summary

Kapuyanga hata sijaelewa chochote!
 
umemuelewa sana tu ila unaqjifanya hutaki kuelewa tulia sindano ipenye hiyooo

Huyu anaesema

Uchaguzi ukiwa huru na wa haki ccm nijiandae kukabidhi ikulu

Unawezaje kumuelewa?
 
dj anawadanganya wenzie sana tuuu unaona hata kwenye kesi kishawageuka anasema hakuwepo inamaana kawaluka wenzie wafe peke yao
Kwani wenzie ndio walikuwepo pale Buibui guest house?!
 
Kwani kwa akili ya polepole anafikiri kushiriki mpka ukapige kura au kugombea? Chama kinaweza Muunga mkono mgombea wa chama kingine. Aache kiwewe Mr Slow slow dawa ikuingie.
....aisee ccm sijui wakoje hivi mnakwama wapi niwasaidie? mmeachiwa mshinde kwa kishindo kama mlivyota bado mnalalamika mnataka tushiliki ili mtupige mabomu na virungu ndo mioyo yenu itulie au
 
Vipi Hassim Rungwe ambaye chama chake hakina mgombea hata mmoja asingetangaza kujitoa kwenye uchaguzi badala yake kama angeungana na CCM kukubali uchaguzi uendelee, Polepole angetoa povu kama hili?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…