Mzalendo2015
JF-Expert Member
- Aug 14, 2012
- 7,225
- 9,830
...itakua walikua wamepanga kutuvunja miguu wanaona tumesepa mapema haiwezekani walazimishe tukashiliki uchaguzi wakati wao wameisha jichagua... walisema wagombea hawajui kusoma na kujaza form si watangaze hao wa ccm wasomi!!kwahiyo polepole amekua msimamizi wa uchaguzi?Hatari sana,ndio maana wenye akili wamewaacha wafanye wenyewe uchafuzi wa mitaa huo.
Hashimu rungwe amedanganywa na kina Mbowe
Tumempuuza rasmi kuanzia sasa
....naona sasa wanalazimisha dalili za uchizi huanza taratibu mda utasemaKwani lazima?
Hashimu rungwe amedanganywa na kina Mbowe
Tumempuuza rasmi kuanzia sasa
Amekwambia CCM walitawanya nchi nzima lawyers 1,200 waliopitia kila fomu ya mgombea wao na kuhakikisha hakuna kosa. Hakuna fomu hata moja ya mgombea wao iliyorudishwa bila kupitiwa na lawyer.Yeye polepole hashangai iweje wagombea wa ccm wote wasikosee hata fomu moja?
Amekwambia CCM walitawanya nchi nzima lawyers 1,200 waliopitia kila fomu ya mgombea wao na kuhakikisha hakuna kosa. Hakuna fomu hata moja ya mgombea wao iliyorudishwa bila kupitiwa na lawyer.
wajita akina kangi! kangi = jingalao = nabali. hata huyo ulomjibu naye mjita bila gita!Na Rungwe kwenyewe wilayani maana yake ni nini?
Kuondokana na makosa yasiyo na maana. Kwa mfano unaulizwa kazi halali unayofanya; unajibu 'nahangaika'. Au chama unachowakilisha unasema ACT Wazalendo wakati kwenye msajili wa vyama hakuna chama kilichoandikishwa kwa jina hilo.Nini mantiki na madhumuni ya kuchaguwa usahihi wa form kwa anaegombea?
1. Kikatiba
2. Kiutawala (ukamilifu wa kiungozi)
Kuondokana na makosa yasiyo na maana. Kwa mfano unaulizwa kazi halali unayofanya; unajibu 'nahangaika'. Au chama unachowakilisha unasema ACT Wazalendo wakati kwenye msajili wa vyama hakuna chama kilichoandikishwa kwa jina hilo.
HIKO SIKU MAWE NA MITI ITAONGEA. Kama kweli leo Polepole anamshukia mzee HASHIM RUNGWE kwa sababu hati hana ofisi mikoani, hana wagombea, mimi nimebaki na maswali mawili. 1. Polepole anaumia vp vyama kujitoa. 2. Yeye ni nani TAMISEMI ?. FIKIRIA HILI, SIKU MOJA BAADA YA CDM KUJITOA, KESHO YAKE VYA VISIVYO KUWA NA HUWAKILISHI BUNGENI KUPITIA M/KITI WAO. WALITANGANZA KUSHIRIKI UCHAGUZI. NA POLE POLE ANAJUA KUWA HIVYO VYAMA BAADHI YAO HAWAKUWA NA MGOMBEA HATA MMOJA KWA NAFASI ZOTE. atukumuona hata siku moja akiita waandishi wa habari na kuviponda. NIKISEMA KUWA VIONGOZI WETU WAMEKOSA MAARIFA NAKO MTANISHANGAA ?.NASII VIONGOZI WETU TAFADHARI FIKIRIENI KWA KINA MANENO YENU MANAYO YAWASILISHA KWA WATU. PIA MKIJUA KUWA MNAOWAPA HIZO TAARIFA MMEWAZIDI TU MMALAKA WALIYO WAPA. SISI WANANCHI TUNAZO AKILI KAMA ZENU PIA TUNAJUA MEMA NA MABAYA. Zaidi yake hayo tunajua mkweli na muongo.Mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amesema anamshangaa sana mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda kwa kudai chama chake kimejitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Polepole amesema CHAUMMA hakikuwepo kwenye uchaguzi kwa sababu hakuna mwanachama hata mmoja wa chama hicho aliyechukua fomu za kugombea.
Kadhalika chama hicho hakikupata kura hata moja katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Pia CHAUMMA hawana ofisi Mikoani, Wilayani wala kwenye Kata sasa wanajitoa kutokea wapi?......ameuliza na kushangaa ndugu Polepole.
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Dovutwa NLD kajitoa wewe. Angalia vizuriKwanini anakwepa hoja kwa kumrukia Spunda na CHAUMMA yake ambacho hakna Mbunge wala balozi wa mtaa au kitongoji?Amesemaje kuhsu vyama vingine 16 vinavo shiriki lakini pia havina Mbunge,Diwani wala m/kiti kitongoji k.m.chama cha Dovutwa n.k.
Lakini pia hajajibu hoja za ACT Wazalendo,CHADEMA,NCCR Mageuzi na CUF vyama venye Wabunge ambavo ndo vimeathirika zaidi na kuenguliwa kwa Wagombea wao?