Polepole amshukia Hashim Rungwe Sipunda kama mwewe, ashangaa wamejitoa wapi wakati hawakuwemo kwenye uchaguzi

πŸ˜‚πŸ˜‚ Hashim Rungwe kwa kupenda kiki, hahaa ili mradi asikike nasikia ofisi yake yeye ni Mwenyekiti na mwanachama hana wafanyakazi hata mmoja wala ofisi nyingine yoyote ni hiyo moja tu.. Haaa
 
Ila si jamaa nae anavuta ruzuku kila mwezi
 
Je ni kweli kwamba njaa haina baunsa ?
 

Attachments

  • Apandacho mtu ndicho atakachovuna ( 268 X 480 ).mp4
    370.1 KB
Hiki kijamaa kikinyanganywa hicho cheo kitaanza waponda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…