Mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amesema anamshangaa sana mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda kwa kudai chama chake kimejitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Polepole amesema CHAUMMA hakikuwepo kwenye uchaguzi kwa sababu hakuna mwanachama hata mmoja wa chama hicho aliyechukua fomu za kugombea.
Kadhalika chama hicho hakikupata kura hata moja katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Pia CHAUMMA hawana ofisi Mikoani, Wilayani wala kwenye Kata sasa wanajitoa kutokea wapi?......ameuliza na kushangaa ndugu Polepole.
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Mnaumia nn wao kujitoa uoni ndo mtapata ushindi wa kishindoHashimu Rungwe amedanganywa na kina Mbowe
Tumempuuza rasmi kuanzia sasa
Mzalendo2015,
Dovutwa amejitoa usimsingizie!
Saa huyu bushman anaogopa nini?
Amezungumzia vipi na wale waliojitangaza watashiriki uchaguzi wakati hata hawana mwenyekiti wa kijiji mmoja?Mwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amesema anamshangaa sana mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda kwa kudai chama chake kimejitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
Polepole amesema CHAUMMA hakikuwepo kwenye uchaguzi kwa sababu hakuna mwanachama hata mmoja wa chama hicho aliyechukua fomu za kugombea.
Kadhalika chama hicho hakikupata kura hata moja katika uchaguzi wa mwaka 2015.
Pia CHAUMMA hawana ofisi Mikoani, Wilayani wala kwenye Kata sasa wanajitoa kutokea wapi?......ameuliza na kushangaa ndugu Polepole.
Chanzo: Channel ten tv
Maendeleo hayana vyama!
Dovutwa kautangazia umma kupitia waandishi wa habari!Itakuwa maajabu ya Musa kabla ya kuona ya Firauniβ¦!Dovutwa anajulikana ni CCM~B huyu imekuwaje?
pakuanzia ni hapaTakwimu kapata wapi?
Wajitoe na ubunge basi,wanaokufa njaa ni hao waliojitoa,sasa kula kwa kutegemea mihuri au viwanja ndi bye bye,ningewaona wa maana Mbowe na Zitto wangeanza wao kujivua ubunge kwanza ili kuonyesha kweli kwamba wanapinga hayo wanayodai wameonewa,Zitto alikomalia korosho badala ya kutoa elimu kwa watu wake jinsi ya kujaza fomu za uchaguziNdio washajitoa sasa πππ
Kujitoa ni kujitoa tu ndugu pole pole
Wajitoe na ubunge basi,wanaokufa njaa ni hao waliojitoa,sasa kula kwa kutegemea mihuri au viwanja ndi bye bye,ningewaona wa maana Mbowe na Zitto wangeanza wao kujivua ubunge kwanza ili kuonyesha kweli kwamba wanapinga hayo wanayodai wameonewa,Zitto alikomalia korosho badala ya kutoa elimu kwa watu wake jinsi ya kujaza fomu za uchaguzi
Vipi vile vyama viliyotangaza kushiriki, viliweka wagombeaMwenezi wa CCM ndugu Humphrey Polepole amesema anamshangaa sana mwenyekiti wa CHAUMMA, Hashim Rungwe Sipunda kwa kudai chama chake kimejitoa kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa.