Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,225
- 1,679
Lakini kama wote tutaendelea kusema ni kuketi kitako basi ni sawa na kuharalisha udhalimu unaofanywa na hao wanaoitwa wahuni. Tunatakiwa tujadiliane namna ya kuwatoa na kuwaadhibu wanyang'anyi wote. Tushikamane watanzania for a better tomorrowNi useless hakuna kitakachofanyika