Polepole ana watu na ana hoja, sijui CCM wafanyeje ili kumdhibiti?

Polepole ana watu na ana hoja, sijui CCM wafanyeje ili kumdhibiti?

Yaani Mimi mwenzenu Kila nikimuangalia huyu jamaa simuamini kabisaaaa.
 
Udhalimu gani tofauti na maoni ya Polepole?
Nakupa mfano mdogo tu, na na-declare kwamba binafsi sikuwa mshabiki wa utawala wa Magufuli.
Huku ninakoishi kuna shida sana ya umeme, lakini wakati wa Magufuli hali ilianza kuwa nzuri na mtu ulikuwa unaweza mambo yako bila wasiwasi. Baada ya kifo chake hali imekuwa worse
 
Kwa hiyo unadhani Watumishi wa Tanesco wanakata makusudi au? 😆😆😆😆
 
Lakini kama wote tutaendelea kusema ni kuketi kitako basi ni sawa na kuharalisha udhalimu unaofanywa na hao wanaoitwa wahuni. Tunatakiwa tujadiliane namna ya kuwatoa na kuwaadhibu wanyang'anyi wote. Tushikamane watanzania for a better tomorrow
Udhalimu gani?
 
Watu wanapuuza na kadiri ya mda ndio kwanza Kila mtu Yuko busy na mambo yake.
Jambo likisemwa Sana bila kukanushwa watu huliamini , pia Kila kitu huanza na maneno, usiseme maneno ya polepole hayana athali Kwa jamii , Watanzania wengi wanamiliki simu na ndio wako katika umri wakupiga kura
 
YOGA alishaeleza kila kitu, kwa sasa tunathibitishiwa tu
 
Ni useless hakuna kitakachofanyika
Wewe jamaa bhana, hovyo kabisa...

Hivi hujui kuwa Kikwete na Rostam (kwa sbb hawa ndio wanaonekana) tayari wanakabiliwa na kesi ya uhaini wa kumuua Rais aliyekuwa madarakani..?

Inaweza isiwe leo au kesho hatua za kisheria kuchukuliwa. Lakini trust me, hizi tuhuma dhidi ya jinai hii ni mbaya sana kwao...

Laiti tungekuwa na vyombo huru vya usalama na kiuchunguzi, kwa tuhuma hizi, baadhi ya watu wangeshakuwa lupango for interrogation...!!

Hata hivi, jinai haifi eti. Si unajua hili...?
 
Lakini kama wote tutaendelea kusema ni kuketi kitako basi ni sawa na kuharalisha udhalimu unaofanywa na hao wanaoitwa wahuni. Tunatakiwa tujadiliane namna ya kuwatoa na kuwaadhibu wanyang'anyi wote. Tushikamane watanzania for a better tomorrow
Haswaaaa!!
 
Back
Top Bottom