Jabari XVI
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 1,225
- 1,679
Lakini kama wote tutaendelea kusema ni kuketi kitako basi ni sawa na kuharalisha udhalimu unaofanywa na hao wanaoitwa wahuni. Tunatakiwa tujadiliane namna ya kuwatoa na kuwaadhibu wanyang'anyi wote. Tushikamane watanzania for a better tomorrowNi useless hakuna kitakachofanyika
Lakini kama wote tutaendelea kusema ni kuketi kitako basi ni sawa na kuharalisha udhalimu unaofanywa na hao wanaoitwa wahuni. Tunatakiwa tujadiliane namna ya kuwatoa na kuwaadhibu wanyang'anyi wote. Tushikamane watanzania for a better tomorrowNaunga mkono hoja, anayo yaongea yanajulikana, ila yeye ameamua kuthibitisha kiwa ni kweli.
Ila tatizo ni kuwa hakita badilika kitu.
Lakini kama wote tutaendelea kusema ni kuketi kitako basi ni sawa na kuharalisha udhalimu unaofanywa na hao wanaoitwa wahuni. Tunatakiwa tujadiliane namna ya kuwatoa na kuwaadhibu wanyang'anyi wote. Tushikamane watanzania for a better tomorrowHasta la Victoria Siempre Asere....
Hii tutashinda, kuna mtu anaamini Polepole na wanaomuunga mkono watashinda? Je watashindaje?
Lakini kama wote tutaendelea kusema ni kuketi kitako basi ni sawa na kuharalisha udhalimu unaofanywa na hao wanaoitwa wahuni. Tunatakiwa tujadiliane namna ya kuwatoa na kuwaadhibu wanyang'anyi wote. Tushikamane watanzania for a better tomorrowKweli mnatafunwa bwashee 🤔 sasa mtafanyaje?
Lakini kama wote tutaendelea kusema ni kuketi kitako basi ni sawa na kuharalisha udhalimu unaofanywa na hao wanaoitwa wahuni. Tunatakiwa tujadiliane namna ya kuwatoa na kuwaadhibu wanyang'anyi wote. Tushikamane watanzania for a better tomorrowMwisho wa maongezi yote ni nini.? Ndio maana hawaoni haja ya kumjibu. Unafikiri akimaliza kuongea tatizo litakuwa limeondoka. Yote hayaondoki mpaka pale watu watakalokuwa tayar kuyaondoa. Na anayoongea wala sio mapya kabisa watu wanayajua na wamekaa kimya
Akili yako fupi sanaMwisho wa maongezi yote ni nini.? Ndio maana hawaoni haja ya kumjibu. Unafikiri akimaliza kuongea tatizo litakuwa limeondoka. Yote hayaondoki mpaka pale watu watakalokuwa tayar kuyaondoa. Na anayoongea wala sio mapya kabisa watu wanayajua na wamekaa kimya
Sawa bwasheeLakini kama wote tutaendelea kusema ni kuketi kitako basi ni sawa na kuharalisha udhalimu unaofanywa na hao wanaoitwa wahuni. Tunatakiwa tujadiliane namna ya kuwatoa na kuwaadhibu wanyang'anyi wote. Tushikamane watanzania for a better tomorrow
Watanzania ndiyo sisi, mimi wewe na yule na Lamomy nk, tusipoamka sisi tegemea watoto wako na wajukuu zako watakosa hata pa kulima nyanya, 75% ya ardhi watakuwa wamegawana wenyewe I.e. vizazi vyao wakina Abdul, Kikwete, Nchimbi, Rostam, Lowasa nk. Jamani tuamke tuitetee nchi yetuSawa bwashee
Mimi nitoe bwasheeWatanzania ndiyo sisi, mimi wewe na yule na Lamomy nk, tusipoamka sisi tegemea watoto wako na wajukuu zako watakosa hata pa kulima nyanya, 75% ya watakuwa wamegawana wenyewe I.e. vizazi vyao wakina Abdul, Kikwete, Nchimbi, Rostam, Lowasa nk. Jamani tuamke tuitetee nchi yetu
This is TanzaniaMimi nitoe bwashee
NajuaThis is Tanzania
Walishindwa kujua kigogo alipoMi nashangaa tu, Kama serikali na vyombo vyake vote na nguvu zote hawajui pole pole alipo mana yake kuna shida kubwa sana nchini na mpasuko wa hatari sana, yaani serikali imepasuka vipande viwili na pole pole analindwa na upande mmoja wa serikali
Kivipi,kwani kuna hata juhudi za kumtafuta??.Mi nashangaa tu, Kama serikali na vyombo vyake vote na nguvu zote hawajui pole pole alipo mana yake kuna shida kubwa sana nchini na mpasuko wa hatari sana, yaani serikali imepasuka vipande viwili na pole pole analindwa na upande mmoja wa serikali
Hakika maneno ya polepole ni mbegu, na matunda yake yataanza kuonekana pale wana mtandao na serikali yao huko mbeleni bajeti zao zikiwa zinakandamiza walio wengi, wa ndipo watakumbuka maneno ya HPUkweli ni kuwa Polepole anaongea yale ambayo watanzania walio wengi ama wanayajua kwa kiasi fulani au mazingira yamewafanya kuwa na hisia fulani. Kwa hiyo Polepole anaweka wazi, anafafanua, na kuna wakati anatoa uthibitisho ulio wazi.
Kwa sasa, wasiojua wanasema kuwa Polepole anapiga kelele zisizo na msaada lakini wasichokijua ni kuwa anachokifanya ni kujenga mazingira ambayo wananchi wengi watambue kuwa nchi imetekwa. Ufahamu huo ndio kwa siku za mbeleni utaamsha mori na hamasa ya watu kujipambania ili kuondoka kwenye utumwa dhalimu. Ukitaka mtu ashiriki kikamilifu ni laxima hiyo mtu hicho anachokipambania kiiguse nafsi yake, ndipo dhamira humjengea ujasiri na moyo wa kujitoa.
Nna uchungu acha tu 😥Watanzania ndiyo sisi, mimi wewe na yule na Lamomy nk, tusipoamka sisi tegemea watoto wako na wajukuu zako watakosa hata pa kulima nyanya, 75% ya ardhi watakuwa wamegawana wenyewe I.e. vizazi vyao wakina Abdul, Kikwete, Nchimbi, Rostam, Lowasa nk. Jamani tuamke tuitetee nchi yetu
Udhalimu gani tofauti na maoni ya Polepole?Lakini kama wote tutaendelea kusema ni kuketi kitako basi ni sawa na kuharalisha udhalimu unaofanywa na hao wanaoitwa wahuni. Tunatakiwa tujadiliane namna ya kuwatoa na kuwaadhibu wanyang'anyi wote. Tushikamane watanzania for a better tomorrow
Nadhani hili ni jibu.Yaani kuna mtandao mwingine pia mkubwa dhidi ya wahuniMi nashangaa tu, Kama serikali na vyombo vyake vote na nguvu zote hawajui pole pole alipo mana yake kuna shida kubwa sana nchini na mpasuko wa hatari sana, yaani serikali imepasuka vipande viwili na pole pole analindwa na upande mmoja wa serikali