Kimbesa11
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 4,648
- 2,706
Husika na mada tajwa hapo juu:
Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema
"Ee Mungu nisaidie"
Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress.
mimi ninamshauri aombe msahama kwasabu bado ataendelea kuulizwa maswali magumu na waandishi wa habari wazalendo.
Hatujui yupo wapi mpaka Sasa sijui yupo Cuba au yupo western countries.
Tuviishi viapo vyetu huwa vinajeruhi moyo.