Heshima gani, ya Polepole??Polepole kaweka historia ya heshima sio mwenzako.
Yuko dunianiYupo wapi kwani mkuu
Wewe unapambania nini au unampambania nani? Weka wazi tujueHeshima gani, ya Polepole??
Polepole anapambania genge lake tu linalosaka madaraka ndani ya CCM.
Hakuna cha maana anachofanya chenye maslahi ya umma.
Afadhlai agenda ya Gwajima ni 200% kuliko Polepole
Leta video, Acha taarabuAlipigwa nyundo za hatari...nakuletea video
Mimi ni mlipa kodi ,siyo mwana siasa wala sitafuti madaraka.Wewe unapambania nini au unampambania nani? Weka wazi tujue
Kumbe wewe sio mlipa kodi, unaka madaraka na mwanasiasa. Umeanika siri zako kirahisi sana. D mbili ninazo na nimesoma cuba. Subiria kuteuliwa.Mimi ni mlipa kodi ,siyo mwana siasa wala sitafuti madaraka.
Hii ndio shida ya kuishia darsa la 4Kumbe wewe sio mlipa kodi, unaka madaraka na mwanasiasa. Umeanika siri zako kirahisi sana. D mbili ninazo na nimesoma cuba. Subiria kuteuliwa.
Husika na mada tajwa hapo juu:
Viapo vinanguvu sana nadhani nguvu inatoka ule mstari wa mwisho unaoposema
"Ee Mungu nisaidie"
Tunamuona ndugu yetu polepole anahangaika na press huku akigeuka mbogo pale anapoulizwa maswali magumu na waandishi wa habari hizi ni stress.
mimi ninamshauri aombe msahama kwasabu bado ataendelea kuulizwa maswali magumu na waandishi wa habari wazalendo.
Hatujui yupo wapi mpaka Sasa sijui yupo Cuba au yupo western countries.
Tuviishi viapo vyetu huwa vinajeruhi moyo.
Na shule hauna pia.. duh. Una leaving certificates tu. Anika na siri zako nyingine pia.Hii ndio shida ya kuishia darsa la 4
Hivi unaanzaje kutetea vifungo vya viapo wakati umeamua kubwaga manyanga na kujiuzulu kazi ya Serikali uliyoteuliwa kwayo?Husika na mada tajwa hapo juu: