Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 4,042
- 6,854
Msije tu mkafunga Youtube ,mwacheni aongee kwani kuna kitu gani kibaya ambacho ni kipya amkijui? Ufisadi ,Utekaji ,Ukiukwaji wa taratibu/kanuni katika uteuzi si sisiemu wanafanya? #KATAA_WAHUNI.Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views,now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu .
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM,wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Wacha kuwabana watu kutumia haki yao ya kikatiba kusema.Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views,now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu .
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM,wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views,now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu .
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM,wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Hawa walitufungia twitter mpka leo nchi ya hovyo sanaMsije tu mkafunga Youtube ,mwacheni aongee kwani kuna kitu gani kibaya ambacho ni kimpya amkijui? Ufisadi ,Utekaji ,Ukiukwaji wa taratibu/kanuni katika uteuzi si sisiemu wanafanya? #KATAA_WAHUNI.
Mzee Andy unaiabisha familia ya yule Mzee wetu tunayemheshimu nafikiri huko aliko kama anaona yanayoendelea huku na kauli yako hii anajiuliza kama kweli wewe ulikuwa bao lake au alibambikiwa.Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views,now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu .
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM,wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation.
Sasa,hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.
Zamani,Henry Ford alikuwa very progressive,anauliza,kwa nini tunaona upendeleo,watu wachache wanatajirika,kazi wanayoifanya hatuioni?
Kwani anavuruga amani ya CCM au nchi? aliyekuambia ccm ni nchi? yeye anasema mambo ya ccm maana yeye ni mwanaccm aliyeshika nyadhifa mbali mbali huko CCMNa hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views,now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu .
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM,wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation.
Sasa,hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.
Zamani,Henry Ford alikuwa very progressive,anauliza,kwa nini tunaona upendeleo,watu wachache wanatajirika,kazi wanayoifanya hatuioni?
Huioni familia ya Kikwete ilivyo na tamaa?Sema kuna namna polepole ana tamaa sana uyo anatak apew cheo kikubwa
unfounded & another crap. CCM kuismbaratisha Chadema na upinzani na kuiba kura tayari ndiyo wanaharibu amani.Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference,sijui anataka kusema nini.