Polepole anavuruga amani ya nchi. Anavyotaka kuzungumza kesho, anataka kusema nini?

Ni dhambi kuwa na extremist views Kwa manufaa ya Taifa lako.
Muacheni kijana ateme nyongo.

Ndani ya mitaa ya Khost-Afghanistan.
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa

Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.

Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.

Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
System ilitengeneza mtandao wa kulinda chama kisipokwe na majambazi kwa hiyo polepole anajua anachokifanya just tumpe mda tuone CCM kuna makundi ilo liko wazi sana kuna wanamtandao wanaweka watu wao wanao wataka then kuna wale vijana wa chama waliotengenezwa na system ya CCM wafuata maadili ya Chama hata huyu Katibu mkuu wa sasa kipindi wamekata Lowassa unaona alivyofula hao ndo vijana wa chama Japokua nae kakengeuka baada ya cheo. Mimi binafsi pia sikupendezwa na kumkata January Makamba mimi CCM pia. hakuna asie jua kwamba viongozi wengi wa CCM wakwapuaji wa mali za Umma Japokua sio wote. Sasa kwa nini iwe January?
 
What are you afraid to lose bruh 😁😁😁

Wewe unajuaje kama anataka kusema mabaya ya ccm , labda anataka kukisifia chama na kama chama hakina Ubaya wowote ule kimefanya mambo mazuri Kwanini mnaogopa press ya pole pole !?

Au umesahau kuwa kizuri Chajiuza , !?
Kama mabaya hakuna na Kuna mazuri tu Yaliyo fanywa na chama chenu simply tu hata pole pole aseme nini si- mazuri yenyewe yatajibu hoja Kwa Wananchi Kwa kusema Pole pole ni Muongo mbona ccm ilifanya mazuri haya na haya ,
so you just chill acha kupaparika
😂😂
 
Anavurugaje amani kama hujui anataka kusema Nini, huu ushabiki wa kishamba
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa

Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.

Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.

Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
Amani, haki ipo wapi?
 
Wenye akili tunaendelea kuvuta msuba maisha yaendelee.
Pole pole hana jipya, zaidi ya kuwajaza watu ujinga, kama walivyo wahi kufanya watangulizi wake akina Sumae na Lowasa.
 
Sema kuna namna polepole ana tamaa sana uyo anatak apew cheo kikubwa
Yeye aachwe aseme,sisi ndiyo tutajua kama ana tamaa au laah.Uchaguzi mkuu tuamuliwe na hata kufikiria tuamuliwe,is it fair?
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa

Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.

Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.

Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
Behind this Script kuna maslahi yanagongana.
 
Wewe ni rizimoko unashangalia ushindi wa familia sio? Muache tu hana madhara endeleeni kula tu ataacha mmeshajiimarisha sana mbona? Lazima umsifie mama yenu kwa kuwapa ulaji acha waliokosa wajifariji au pia unaumia? Unafikiri atawaharibia?

Hawezi bana kuharibu lolote wakati baba ndo mastermind wa mama. Tunajua meza yenu ina vinywaji vya gharama sana lazima kila anayetaka kuitingisha mumtolee macho ni haki yenu kulinda ugali wenu kwa kete ya "watanzania wanataka amani". Amani maana yake kuwalindia chakula cha familia yenu
Huyu mtoto wa mzalendo Nyerere.
Anaenda kinyume kabisa na mitizamo ya mzee wake.
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa

Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.

Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.

Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?

Anayetaka kuvuruga amani ni Maza na genge lake.
 
Sasa umeandika nini Poppy, huoni kuwa umerukaruka sana? Mara Chadema mara Henry Ford na magari yake ya makopo?
 
Freedom of speech ...
Nchi hii Haina amani Wala Nini Wacha kujidanganya... Watu wanatekwa na nchi inagawiwa kwa wanandugu kama enzi za mkoloni kwanini tusiseme pumbaffff wacheni kuona watz wajinga na uoga pia unaendelea kupoteza kadiri mnavyotupatia maumivu ndivyo mioyo inavyokuwa migumu kama Wana w ISRAEL ya Musa...... Mpaka tutoboe Kaanan
 
Mzee Andy unaiabisha familia ya yule Mzee wetu tunayemheshimu nafikiri huko aliko kama anaona yanayoendelea huku na kauli yako hii anajiuliza kama kweli wewe ulikuwa bao lake au alibambikiwa.
😝😝😝😝😝😝 Si Kila mtoto ni WA mume wa ndoa ,Kuna shamba boy ,gate man ,muuza genge mangi n.k
 
Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa

Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku

Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.

Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.

Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.

Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
Relax mkuu, hako kambaumbau kenye dalili ya kupindika hakuna namna anaweza kuiharibu amani ya nchi hiiii.....kamwe hawezi. Watu, ukiacha chadema ambao ni wachacheee, hawahangaiki na hako kakitu.
 
Back
Top Bottom