Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,019
- 156,726
Matatizo ya kuchanganya privilege na lack of empathy.Naona kuna watu hawataki watu wazungumze wala kutoa maoni
Wanataka wao ndiyo wazungumze na maoni yao wakitoa ndiyo sahihi 😄
Naona njia sahihi ni kuwa mtazamaji tu,mambo yote tuwaachie wenyewe
Ova
Yani mtu akiwa na privilege yeye anaona nchi ina amani, wakati watu wanatekwa kila siku.
Tundu Lissu anasema Ukonga kuna watu 27 wamefungwa kwa kesi ambazo mashahidi hawajulikani, wanatoa ushahidi huku wamefichwa. Kesi za kubumbabumba tu.
Kuna amani gani hapo?