peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Yaani wengi mmeshindwa kumsoma dingi na kumuelewaMzee Andy unaiabisha familia ya yule Mzee wetu tunayemheshimu nafikiri huko aliko kama anaona yanayoendelea huku na kauli yako hii anajiuliza kama kweli wewe ulikuwa bao lake au alibambikiwa.
Badala yakujibu hoja mnakimbilia amani nonesense kabisa CDM wanaingia vipi hapo namambo yenu yakisisiemu? Wanaovuruga amani ndio wanaodaia kulinda amani haya ninmaajabu kwakweliNa hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba.
Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa .
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu.
Bado kuna loose ends which have to be tied up.
Chadema lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya Chadema.
Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee ubunge kwa sababu hawskumpendeza Mwenyekiti.
Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation.
Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.
Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive,anauliza, kwanini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
"follow the money & power"Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar
Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga
2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze
Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu
2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro
Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini
Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar
2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar
3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar
4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar
Wewe uliyemuelewa hebu tusaidie na sisi tumuelewe vizuri.Yaani wengi mmeshindwa kumsoma dingi na kumuelewa
"Mtanikumbuka"Familia ya Rais SAMIA SULUHU HASSAN
1. Mtoto - Wanu Hafidh Ameir
Jimbo: Makunduchi, Zanzibar
Familia ya RAIS MSTAAFU MRISHO KIKWETE
1. Mke - Salma Kikwete
Jimbo - Mchinga
2. Mtoto - Ridhiwani Kikwete
Jimbo - Chalinze
Familia ya Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo pinda
1. Mtoto - Geophrey Privatus Mizengo Pinda
Jimbo - Kavuu
2. Mtoto - Sylivanus Mizengo Ole Pinda
Jimbo - Ngorongoro
Familia ya Mzee Wasira
1. Mtoto - Kambarage Masato Wasira
Jimbo - Bunda Mjini
Familia ya Hayati Rais Ali Hassan Mwinyi ambaye pia mtoto wake ni Rais wa Zanzibar (Hussein Mwinyi )
1. Mtoto - Abasi Ali Mwinyi
Jimbo - Fuoni, Zanzibar
2. Mtoto - Fahmy Ali Mwinyi
Jimbo - Mwanakwerekwe, Zanzibar
3. Mtoto - Asma Ali Mwinyi
Jimbo - Welezo, Zanzibar
4. Mtoto - Abdulla Ali Mwinyi
Jimbo- Mahonda, Zanzibar
Km unajianini,una hofu ya Nini?Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa
Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.
Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
Hakika pamoja na mapungufu yake angekuwepo huu upuuzi tunaouona Leo usingekuwepo"Mtanikumbuka"
Kuna jamaangu mmoja alikua anamponda sana Mwamba. Sasa mwaka Jana nilimuuluza Ni mkubwa anaupiga mwingi? Alinitukana sana jamaa. Sasa Tena Jana nimemuuliza vip nchi Yako imefunguka Kwa sera zile za kuutandika Mwingi, jamaa akakiri hakua sahihi kumsema vibaya Mwamba. Mwamba alikua mzalendo hamna wa kumpima nae.Hakika pamoja na mapungufu yake angekuwepo huu upuuzi tunaouona Leo usingekuwepo
Nasimama na Humphrey Polepole kupinga uhuni, utekwaji, uteswaji na mauaji ambayo serikali dhalimu ya MamaSamia2025 imeyafumbia machoNa hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa
Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.
Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
Iyo ndo imezid hao ilitakiwa jiwe awakill kuponya taifaHuioni familia ya Kikwete ilivyo na tamaa?
Kama anavuruga si akamatwe na kushitakiwa? Kwa nini waguswe nduguze?Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.
Huyu ni mwanasiasa with extremist views, now made worse by his stay in Cuba. Watanzania wanataka amani. CCM wamesema Samia Suluhu ndie atakuwa mgombea urais. Ni wao wenyewe CCM ndio wanaweza kumbadili. Siyo Polepole au Dr. Slaa
Soma: Humphrey Polepole: Nitazungumza na Umma 31 Julai 2025 Saa 2:00 Usiku
Tayari Polepole ameshaleta madhara sana, anavuruga amani, anataka kufafanua mambo kumbe ndio anazidi kuwavuruga watu. Bado kuna loose ends which have to be tied up. CHADEMA lazima waelewe kwamba wakipewa ruzuku siyo kwa ajili ya kutumia na watu wachache katika Chama chao.
Sasa ambapo Uteuzi umekwisha CCM, wanaweza kusikiliza manung'uniko ya CHADEMA. Halafu watu wengine wamekatwa wasigombee Ubunge kwa sababu hawakumpendeza Mwenyekiti. Kwa hiyo labda watasubiri mpaka 2030.
Polepole wants to destabilize the country. Anatumwa na Ford Foundation. Sasa, hii Ford Foundation ya siku siyo Ile ya zamani alipokuwepo Henry Ford anatengeneza gari kwa kutumia madebe na makopo.
Zamani, Henry Ford alikuwa very progressive, anauliza kwa nini tunaona upendeleo, watu wachache wanatajirika, kazi wanayoifanya hatuioni?
stupidNa hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.

Umetumia lugha kali sana ila umeeleweka.Iyo ndo imezid hao ilitakiwa jiwe awakill kuponya taifa
Mbona mnavunja katiba yenu kwa maslahi ya watu wachache na hamna anayewauliza?Na hivi anavyosema kwamba kesho anataka kufanya Press Conference, sijui anataka kusema nini.