Polepole anavuruga amani ya nchi. Anavyotaka kuzungumza kesho, anataka kusema nini?

Ila watu mnachekesha aisee, eti polepole ahatarishe amani ya nchi ya Tanzania🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kitongoji chake tu alichozaliwa hawezi, itakuwa nchi.
 
Mwacheni aongee. Nyinyi mnaona sawa THE KIKWETES na yule DOTO BITEKO kupitishwa bila kupingwa? Mnaona sawa kupitisha jina la WANU SAMIA huku mkikata jina la JESCA MAGUFULI? Kwamba WANU ana uwezo sana kuliko JESCA? Mwacheni aongee.
 
Wanaovuruga amani ni wezi wa kura na ambao wanagawana majimbo kwa kuweka wake zao na watoto.
 
Dawa yake ni kumuacha aongeee weeeeee mwisho wa siku anajisahau kwenye kuongea anaingia kwenye kumi na nane!
 
Ccm kuba wahuni,na copy ya ccm
 
Mtu anaetaka kuvuruga amani ya nchi huwa hazhngumzi, acheni kuwa insecure
 
Si usubiri azungumze kwanza??
 
unfounded & another crap. CCM kuismbaratisha Chadema na upinzani na kuiba kura tayari ndiyo wanaharibu amani.

Vipi ile story ya Waislam na JPM na yule mlevi imeishia wapi?
Nasubiri mlevi awe sober.
Kila wakati anasema hana amani, anasema anataka atulie kwanza halafu ataongea.
 
Polepole mnafiki sana, hana la maana zaidi ya chuki binafsi kwa Mh. Rais wetu Samia
 
The only thing necessary for the triumph of evil is for good men to do nothing
 
Mkuu hatutajani majina kwa kanuni za JF.
Naona kuna watu hawataki watu wazungumze wala kutoa maoni
Wanataka wao ndiyo wazungumze na maoni yao wakitoa ndiyo sahihi 😄
Naona njia sahihi ni kuwa mtazamaji tu,mambo yote tuwaachie wenyewe

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…