Kiranga Platinum Member Joined Jan 29, 2009 Posts 89,019 Reaction score 156,726 Jul 30, 2025 #81 mrangi said: Naona kuna watu hawataki watu wazungumze wala kutoa maoni Wanataka wao ndiyo wazungumze na maoni yao wakitoa ndiyo sahihi π Naona njia sahihi ni kuwa mtazamaji tu,mambo yote tuwaachie wenyewe Ova Click to expand... Matatizo ya kuchanganya privilege na lack of empathy. Yani mtu akiwa na privilege yeye anaona nchi ina amani, wakati watu wanatekwa kila siku. Tundu Lissu anasema Ukonga kuna watu 27 wamefungwa kwa kesi ambazo mashahidi hawajulikani, wanatoa ushahidi huku wamefichwa. Kesi za kubumbabumba tu. Kuna amani gani hapo?
mrangi said: Naona kuna watu hawataki watu wazungumze wala kutoa maoni Wanataka wao ndiyo wazungumze na maoni yao wakitoa ndiyo sahihi π Naona njia sahihi ni kuwa mtazamaji tu,mambo yote tuwaachie wenyewe Ova Click to expand... Matatizo ya kuchanganya privilege na lack of empathy. Yani mtu akiwa na privilege yeye anaona nchi ina amani, wakati watu wanatekwa kila siku. Tundu Lissu anasema Ukonga kuna watu 27 wamefungwa kwa kesi ambazo mashahidi hawajulikani, wanatoa ushahidi huku wamefichwa. Kesi za kubumbabumba tu. Kuna amani gani hapo?
MwajabuOmary JF-Expert Member Joined Jul 11, 2013 Posts 2,059 Reaction score 2,982 Jul 30, 2025 #82 Kama gwajboy alivyotuvuruga