Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Maombi kwa awaye yote. Mwenye nguvu.
Yangetokea maajabu kwa ndugu Polepole mfano wa yanayo watokea makasisi sijui mapadre wa Katoliki ya kupotea kisha kuokotwa siku kadhaa wakiwa hai huku wana msongo wa mawazo (depression) taifa lingepona.
Chuki na hasira zingepoa.
Visasi visingetarajiwa siku za usoni.
Miujiza hii imetokea kwa mapadre naamini inaweza kutokea kwa Polepole pia. Ingetokea hata siku moja baada ya kutangazwa matokeo ya uchaguzi mkuu bado ingekuwa wakati mzuri tu.
Mungu ibariki Tanzania.
Mbariki Raisi wetu.
Amen.