Endasak Masqaroda
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 1,728
- 3,958
Mayala ni njaaWanabodi
Nimemsikiliza HP mwanzo mwisho, hoja zake ni za ukweli na za msingi sana kuhusu kiini macho cha uchauzi wa Tanzania.
Ushauri wake watu wasijitokeze kupiga kura mpaka kwanza upatikane muafaka wa kitaifa, ni ushauri tenge kama ulivyo uwanja tenge wa uchaguzi, it's a bit too little too late!.
Lori la semitrela lililobeba container la uchaguzi, liko kasi kwenye mteremko, huwezi kufunga breki likasimama ghafla, ukichuna breki za ghafla, ghafla the rate of change of velocity kutoka ni direct applied to the weight of the containers and takes place to the.direction la lori linakoelekea, hivyo ukichuna breki ghafla kwenye high speed kwenye mteremko mkali, kwanza tairi zitawaka moto kwa friction ya lami, gari litasimama ghafla, container zitapush mbele, lori itapinduka na kila kitu kitaparaganyika!.
Madam Watanzania tumekuwa tukifanyishwa igizo la uchaguzi na NEC huku tukifanyiwa kiini macho cha ushindi wa CCM kwenye uchaguzi siku zote na chaguzi zote bila kujua kuwa ni kiini macho, ila CCM ikishinda si hua inatuletea maendeleo ya kuonekanika?, na Watanzania tunayaona kwa macho yetu wenyewe haya maendeleo yanayoletwa na CCM?. Sasa tunachotaka taka ni nini?, uchaguzi mkuu huru na wa haki kwenye lindi la umasikini uliotopea, au igizo la uchaguzi na kutupatia maendeleo?.
Wengi humu huwa wanakuwa conscious kuhusu uchaguzi mwaka wa uchaguzi kama sasa, angalieni nilishauri nini kuhusu uchaguzi wa 2020 na nilishauri lini? Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Hapo angalieni nilisema nini kuhusu chaguzi zetu?.
Hivyo natoa wito kwa Watanzania, hiyo tarehe 29 October, twendeni tukaithibitishe tuu.CCM, maana uchaguzi tuliisha maliza kitambo, Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
Tunafanyiwa na hiyo mifumo, kama ulivyosema!. Ile siku ile Nape alipoitoa siri hii, niliuliza kitu humu Pre GE2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?, sasa yanaporudiwa na Polepole, mnashangaa nini?!.
Haya mambo akina sisi, tumeyasema sana humu
- CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
- CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
- Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
- Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Ni nini kipya ambacho Polepole amekisema hakijasemwa humu?.
Watanzania, uchaguzi upo, tujitokeze kwa wingi kwenda kutiki sio kutiki ili kuchagua, ni kutiki ya kuthibitisha tuu!.
Ushauri kama huu pia nilimpa Tundu Lissu
View: https://youtube.com/shorts/iv7asnge8Qo?si=GxvbLNnTPAW-OFMb
Pia nilimpa salaam Prof Kitila Mkumbo akampe Dada GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
Kwa sisi wa zamani enzi za chama kimoja, tumeisha shiriki uchaguzi wa rais akishindana na kivuli , hivyo tarehe 29 October, twendeni tukaithibitishe tuu kwa kutiki!.
Uchaguzi wa rais na VP tulimaliza ile January 19 pale Dodoma, matokeo ya Wabunge na madiwani, yatatangazwa leo, tarehe 29 ni kwenda kuthibitisha tuu kwa kutiki!
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Kwa heshima uliyokuwa nayo humu Jamvini - Najisikia Vibaya Kukukosoa, Lakini Kwa Sisi Tuliosoma Cuba Nishakuelewa Nini unamasnisha/ Ndugu Yangu NJAA Kama jina lako lilivyo kikwetu, Najua unahuma na kupulizaWanabodi

Mzee Paskali, umri wako ni mkubwa sana kuleta utani kama huu!Wanabodi

Hii haina uhusiano na uchaguzi bandia wa ccmMagufuri aliwahi kusema mayalla kwa kiswahili ni njaa
Utani upi ? Kuna uchaguzi hapo ? Mpinzani wa kweli kweli yupo jela chama cha upinzani cha kweli mnakifanyia mizengwe, hakuna uchaguzi Tanzania bali kuna VitukoMzee Paskali
Mzee Paskali, umri wako ni mkubwa sana kuleta utani kama huu!
Kwa mujibu wa yale tuliyoyasoma, speed na velocity ni vitu viwili tofauti mkuu.Just say "acceleration" maana hiyo acceleration yenyewe ndio "the rate of change of Velocity(speed)"
Wala sipingani na wwUtani upi ? Kuna uchaguzi hapo ? Mpinzani wa kweli kweli yupo jela chama cha upinzani cha kweli mnakifanyia mizengwe, hakuna uchaguzi Tanzania bali kuna Vituko
Kupoteza pesa kwa uchaguzi Hewa ni matumizi mabaya ya pesa za walipa kodiPascal Mayalla huoni tutakuwa tume make a statement tukisusia maigizo haya ya uchaguzi na kuwa cheche za mabadiliko huko mbele?
Leo unakuwa tofauti na mtu uliyewahi kumfananisha na Nyerere ktk moja ya nyuzi zako.Wanabodi
Nimemsikiliza HP mwanzo mwisho, hoja zake ni za ukweli na za msingi sana kuhusu kiini macho cha uchauzi wa Tanzania.
Ushauri wake watu wasijitokeze kupiga kura mpaka kwanza upatikane muafaka wa kitaifa, ni ushauri tenge kama ulivyo uwanja tenge wa uchaguzi, it's a bit too little too late!.
Lori la semitrela lililobeba container la uchaguzi, liko kasi kwenye mteremko, huwezi kufunga breki likasimama ghafla, ukichuna breki za ghafla, ghafla the rate of change of velocity kutoka ni direct applied to the weight of the containers and takes place to the.direction la lori linakoelekea, hivyo ukichuna breki ghafla kwenye high speed kwenye mteremko mkali, kwanza tairi zitawaka moto kwa friction ya lami, gari litasimama ghafla, container zitapush mbele, lori itapinduka na kila kitu kitaparaganyika!.
Madam Watanzania tumekuwa tukifanyishwa igizo la uchaguzi na NEC huku tukifanyiwa kiini macho cha ushindi wa CCM kwenye uchaguzi siku zote na chaguzi zote bila kujua kuwa ni kiini macho, ila CCM ikishinda si hua inatuletea maendeleo ya kuonekanika?, na Watanzania tunayaona kwa macho yetu wenyewe haya maendeleo yanayoletwa na CCM?. Sasa tunachotaka taka ni nini?, uchaguzi mkuu huru na wa haki kwenye lindi la umasikini uliotopea, au igizo la uchaguzi na kutupatia maendeleo?.
Wengi humu huwa wanakuwa conscious kuhusu uchaguzi mwaka wa uchaguzi kama sasa, angalieni nilishauri nini kuhusu uchaguzi wa 2020 na nilishauri lini? Kwa kasi hii ya Magufuli, kuna haja Kufanya Uchaguzi wa Rais 2020?
Hapo angalieni nilisema nini kuhusu chaguzi zetu?.
Hivyo natoa wito kwa Watanzania, hiyo tarehe 29 October, twendeni tukaithibitishe tuu.CCM, maana uchaguzi tuliisha maliza kitambo, Pre GE2025 - LGE2024 - Mwana JF, Be The First to Know CCM Ndie The Overall Winner wa Uchaguzi Mkuu wa 2025 Kufuatia Ushindi Serikali za Mitaa。CCM Amekomba Almost Everything!
Tunafanyiwa na hiyo mifumo, kama ulivyosema!. Ile siku ile Nape alipoitoa siri hii, niliuliza kitu humu Pre GE2025 - Kwa kauli ya Nape kuhusu chaguzi zetu, anastahili kulaumiwa au kupongezwa kwa kuusema ukweli?, sasa yanaporudiwa na Polepole, mnashangaa nini?!.
Haya mambo akina sisi, tumeyasema sana humu
- CCM sio tu ni chama tawala, bali pia ni chama Dola!
- CCM kutumia Hooks & Crooks Kushinda Chaguzi, Inajua Ikishindwa Ndio Itakufa Jumla, Itakubali?
- Wenye Matumaini na Upinzani Kushika Dola! Sahauni! CCM Inajiandaa Kuua Kabisa na Kuuzika Jumla
- Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!.
Ni nini kipya ambacho Polepole amekisema hakijasemwa humu?.
Watanzania, uchaguzi upo, tujitokeze kwa wingi kwenda kutiki sio kutiki ili kuchagua, ni kutiki ya kuthibitisha tuu!.
Ushauri kama huu pia nilimpa Tundu Lissu
View: https://youtube.com/shorts/iv7asnge8Qo?si=GxvbLNnTPAW-OFMb
Pia nilimpa salaam Prof Kitila Mkumbo akampe Dada GE2025 - Paschal Mayala: CCM Itakuwa inapambana na kivuli chake kama CHADEMA Haitashiriki uchaguzi
Kwa sisi wa zamani enzi za chama kimoja, tumeisha shiriki uchaguzi wa rais akishindana na kivuli , hivyo tarehe 29 October, twendeni tukaithibitishe tuu kwa kutiki!.
Uchaguzi wa rais na VP tulimaliza ile January 19 pale Dodoma, matokeo ya Wabunge na madiwani, yatatangazwa leo, tarehe 29 ni kwenda kuthibitisha tuu kwa kutiki!
Mungu Ibariki Tanzania
Paskali
Njaa ya madaraka ipo ccm wanalazimisha uchaguzii Hewa tena kushindana na vyama pandikizi , vyama matawi ya ccmMayala ni njaa
I know..nimeonge ki layman but velocity ni vector in nature described by both magnitude and direction but speed is not. Only magnitude kwa speed 😂Kwa mujibu wa yale tuliyoyasoma, speed na velocity ni vitu viwili tofauti mkuu.
Sawa mkuu kama ni ki layman!I know..nimeonge ki layman but velocity ni vector in nature described by both magnitude and direction but speed is not. Only magnitude kwa speed 😂
Hii ni ishara ya mtu mnafiq anayesimama kati ya watu wawili aking'ata huku na kupuliza kule. Ichunguze dhamiri yako vizuri bwana Paschal nafikiri inasema kitu sana kuhusu watanzania na kwanini tunashindwa kutoka hapa, ni kwasababu viongozi wetu ni watu wa aina yako. Wanapenda maandiko marefu ambayo mwisho wake hayasemi cha maana isipokuwa contraditions.Madam Watanzania tumekuwa tukifanyishwa igizo la uchaguzi na NEC huku tukifanyiwa kiini macho cha ushindi wa CCM kwenye uchaguzi siku zote na chaguzi zote bila kujua kuwa ni kiini macho, ila CCM ikishinda si hua inatuletea maendeleo ya kuonekanika?, na Watanzania tunayaona kwa macho yetu wenyewe haya maendeleo yanayoletwa na CCM?. Sasa tunachotaka taka ni nini?, uchaguzi mkuu huru na wa haki kwenye lindi la umasikini uliotopea, au igizo la uchaguzi na kutupatia maendeleo?.