Blessed Tajiri
JF-Expert Member
- Dec 16, 2023
- 284
- 870
Polepole anasema kwa uchaguzi 2020 kundi la mtandao lilikuwa na mgombea wao, walikuwa wanamtaka Shamsi Nyahoza.
Wakati kamati kuu wote walisema hawana mgombea, siku ya jioni kuna mtu alikuwa anapiga simu, binti, alikuwa anapiga simu akitaka mgombea wa zanzibar aliyemtaka yeye na aliyemtuma kupiga simu ili wajumbe wamchague - waziri rashid.
Polepole anasema ambaye alikuwa hapigiwi kampeni ni mwinyi, wajumbe wakapiga kura za hasira kumjibu aliyekuwa analazimisha zote kumchagua Mwinyi.
Huyo binti mpiga simu ambaye mpaka sasa yupo kwenye kamati ni nani?