Labda kama umesahau namna akina Ester Bulaya na Matiko walivyokwenda chadema.Unajua maana ya equal chance wewe kanjanja ?
Ester matiko
Nasari
Bulaya
Walikuwa chama gani? Na sasa wanagombea kwa chama gani? Kulikuwa hakuna wanaccm wenye sifa kwenye hayo maeneo?
Rqual chance inamana gani hapo???
Polepole hakusema jambo jipya ndio maana hakusababisha taharuki yoyote. Hakuna asiyefahamu kuwa CCM lazima ishinde. Hata Baba wa Taifa alipoona Mkapa anaelekea kushindwa na Lyatonga Mrema wa NCCR Mageuzi ilimlazimu kuvua koti la ubaba wa taifa na kuingia dimbani mwenyewe kumpiga kampeni Mkapa; na alisema "I can not let my country go to the dogs" akimaanisha hawezi kulala na kuiachia nchi yake iongozwe na wahuni wabangaizaji. Huyo ni Nyerere yule tunaemsifu kila siku na milele, sembuse Samia.Polepole apongezwe pia kwa kuwafungua wananchi kuhusiana na mbinu chafu za CCM katika chaguzi mbalimbali.
Hizo cables ziko hata Marekani. Hukuwasikia wakilia kuwa Urusi iliingilia uchaguzi wao kumsaidia Trump? Kama hizo cables zina uwezo wa kuzuia vurugu za kidini na kikabila zina ubaya gani? kama hizo cables zinaweza kuzuia wahuni wasiokuwa na sera kuingia Ikulu zina ubaya gani? Kama hizo cables zinaweza kuzuia watu wanaotaka kupora gesi na uranium yetu kwenda Ulaya zina shida gani?Ujinga wako ni pale unapolinganisha vitu bila kutoa logic ya mlinganisho wako.
So kama hakuna chama cha kuongoza badala ya ccm ndo pawe na
Cables huko NEC na NIDA Kuchakachua matokeo?
Ndo mahakama zitumike kufunga wapinzani wa ccm?
Ndo msajili atumike kubinya haki za wengine ili wasishiriki?
Umepangiwa apartment yenye kunguni hapo masaki? Kiasi ambacho una akili zilizovia kiasi hiki?
Una akili ndogo wewe. Huwezi kujua mambo kwa kinaLabda kama umesahau namna akina Ester Bulaya na Matiko walivyokwenda chadema.
Kwa hiyo mmeuza bandari kwasababu ya kuwa na cables! Makaa ya mawe mmempa rostam kwa sababu ya cables za kuiba kura? Kila kinachofanyika USA Lazima kiwe halali Tanzania?Hizo cables ziko hata Marekani. Hukuwasikia wakilia kuwa Urusi iliingilia uchaguzi wao kumsaidia Trump? Kama hizo cables zina uwezo wa kuzuia vurugu za kidini na kikabila zina ubaya gani? kama hizo cables zinaweza kuzuia wahuni wasiokuwa na sera kuingia Ikulu zina ubaya gani? Kama hizo cables zinaweza kuzuia watu wanaotaka kupora gesi na uranium yetu kwenda Ulaya zina shida gani?
Pamoja na kugawaPolepole amesema mwenyewe kuwa yeye na wenzake aliowataja walitengeneza mfumo pale CCM na tume ya uchaguzi unaounganisha tume, CCM na NIDA ili kumsadia Magufuli kushinda uchaguzi 2020 kwa njia nyepesi, na mfumo huo ungetumika pia kama mgombea wake ndiye angeteuliwa kuwania Urais.
Kama kweli hili ni kweli Polepole lazima ashitakiwe kwa uhalifu huu mkubwa kiasi hiki.
wewe ndiye huna akili, una ya kuvukia barabara tu, Bulaya alikuwa mwanaCCM kindakindaki, alikwenda cdm baada ya kukosa nafasi ya kuteuliwa, na pia alimfuata rafiki yake mkubwa Halima Mdee kule cdm. kama hujui usiogope kuuliza. kuuliza sio ujingaUna akili ndogo wewe. Huwezi kujua mambo kwa kina
Kwa hiyo bulaya alivyoondoka shughuli za ccm pale bunda zilisimama kumsubiri audio ili agombee tena? Ati huyu ndo ana akili? Sawa kama ni hivyo mbona hajaongoza kura za maoni?wewe ndiye huna akili, una ya kuvukia barabara tu, Bulaya alikuwa mwanaCCM kindakindaki, alikwenda cdm baada ya kukosa nafasi ya kuteuliwa, na pia alimfuata rafiki yake mkubwa Halima Mdee kule cdm. kama hujui usiogope kuuliza. kuuliza sio ujinga
Kama kwa kufanya hivyo kitaendelea kubaki madarakani kuna ubaya gani kufanya hivyo? Hata cdm yenyewe walifika hapo kwa nguvu ya Lowassa kutoka CCM. Kabla ya Lowassa kwenda CCM cdm kilikuwa chama kidogo sana, Lowasa ndiye kawapa kura nyingi na wabunge wengi hadi kikawa chama kikuu cha upinzani. Sasa hivi hakuna cdm tema, wako wahuni tu wa no reforms no erection. How can you stop a constitutional national election?Pamoja na kugawa
Baiskeli nchi nzima
Pikipiki nchinzima
Mabango nchi nzima
Kununua wasanii wote
Bado tu ccm haimini kwamba itashinda mpaka pawe na server pia??
Ati chama kinakubalika ndo uvishe askari nguo za chama?
Fala weweKumuamini Polepole aliyechanganyikiwa ni kuchanganyikiwa kuliko Polepole mwenyewe. Polepole ana tatizo la afya ya akili.
Wewe mpuuzi kwani no reforms no election ni jambo baya? Huelewi maana yake nn? We sema ccm inategemea cables kuiba matokeo. Sasa kama cdm haipo unagawa baiskeli za ninini? Unagawa pikipiki za nn? Haya mabango ya walegeza macho ya nn huku barabarani? Unashindana na CHAUMMA kisha unaweweseka? Ofisi za chaumma ziko wapi hapo ulipo?Kama kwa kufanya hivyo kitaendelea kubaki madarakani kuna ubaya gani kufanya hivyo? Hata cdm yenyewe walifika hapo kwa nguvu ya Lowassa kutoka CCM. Kabla ya Lowassa kwenda CCM cdm kilikuwa chama kidogo sana, Lowasa ndiye kawapa kura nyingi na wabunge wengi hadi kikawa chama kikuu cha upinzani. Sasa hivi hakuna cdm tema, wako wahuni tu wa no reforms no erection. How can you stop a constitutional national election?
Ulisikia mkuu wa mtandao kikwete jana alivyo PUYANGA kumjibu polepole?Fala wewe
Kwahiyo unataka wajumbe na watendaji wa chama watembee kwa miguu kupiga kampeni. ulofa huu hadi lini? mwenye nguvu mpishe (survival for the fittest)Wewe mpuuzi kwani no reforms no election ni jambo baya? Huelewi maana yake nn? We sema ccm inategemea cables kuiba matokeo. Sasa kama cdm haipo unagawa baiskeli za ninini? Unagawa pikipiki za nn? Haya mabango ya walegeza macho ya nn huku barabarani? Unashindana na CHAUMMA kisha unaweweseka? Ofisi za chaumma ziko wapi hapo ulipo?
Yeye amekiri kabisa, ndio wa kuaza nae.Pale CCM wote ni wa kushtaki na kuwapeleka Jela kwa kifungo kirefu
Polepole kasema yeye mwenyewe ndiye aliutengeneza mfumo huo kwaajili ya rafiki yake JPM. Maana yae yeye mwenye ndiye anafahamu mfumo unavyofanyakazi na yeye tu ndiye alikuwa ajua namna ya kuuendesha hadi utoe matokeo pendwa. Maana yake mfumo huo sasa hivi haupo tena pale tume.Ashitakiwe peke yake, ashitakiwe na na nani? Kwenye mahakama ipi, yule ameamua kama mbwa na iwe mbwa, kaamu kupasua mbarika japo wahusika nao wameamua kuziba masikio na macho kwa kumpuuza ila ukweli ndio kausema na wananchi wataamua wachukue hatua gani kuiadhibu ccm kwa ukora huo
Sasa mbona wanapewa kipindi cha kampeni? Wajumbe wa ccm wanafanya kazi kipindi cha kampeni tu? Mm mtaani kwangu kuna bodaboda zaidi ya 3 zilizotolzilizotolewa na SSH Na wanaoziendesha siyo wajumbe wala viongozi wa hilo lichama la majambaziKwahiyo unataka wajumbe na watendaji wa chama watembee kwa miguu kupiga kampeni. ulofa huu hadi lini? mwenye nguvu mpishe (survival for the fittest)
sasa bodaboda 3 tu mtaa mzima. Hizo ni kwaajili ya kampeni ya nyumba kwa nyumba, kitanda kwa kitanda, lakini ni kama bango linalotembea sawa na mabango mengine.Sasa mbona wanapewa kipindi cha kampeni? Wajumbe wa ccm wanafanya kazi kipindi cha kampeni tu? Mm mtaani kwangu kuna bodaboda zaidi ya 3 zilizotolzilizotolewa na SSH Na wanaoziendesha siyo wajumbe wala viongozi wa hilo lichama la majambazi
Unaishi wapi wewe
Bulaya ana nguvu za kumshinda yeyote bila kujali anagombea kupitia chama gani. Aliweza kumshinda hata Wasira mara nyingi tu. CCM sio wajinga wamuache aende ACT au CHAUMA. wewe jifunze namna ya kufikiria na kutafakari kwa kina.Kwa hiyo bulaya alivyoondoka shughuli za ccm pale bunda zilisimama kumsubiri audio ili agombee tena? Ati huyu ndo ana akili? Sawa kama ni hivyo mbona hajaongoza kura za maoni?
Kwanini wasikamatwe wale ambao hawajasema akiwemo Samia? Ukiongoka na kusema ukweli unapewa Immunity. Kwa hiyo Polepole automatically ana hiyo immunity ya kushtakiwa kwa sababu ametoa siri. Ni jukumu la vyombo vya usalama kuwahoji hao aliowasema.....Yeye ameshasema anachokifahamu, unataka aendelee kusema nini? Wewe ukienda kushtaki Police kuwa mihogo yako imeibiwa na ukataja mwizi, utakamatwa na uhojiwe kama mhalifu? Wakati mwingine ni vizuri kufikiri nje ya box. Hakuna whistleblower anayekamatwa kwa uhalifu, bali wanakamatwa wahalifu waliotajwa na huyo whistleblower.Yeye kasema yeye ndiye amehusika kuutengeneza mfumo huo. Kwanini asikamatwe kama mhalifu na kusaidia kufichua wahusika wote?