Ufisadi ni siri ya serikali?Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
We si ulisema umesomea LLB unasubiri nini kumpeleka mahakamani?Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Wahuni wanataka wamshtaki kwa wahuni.duuuhSiri gani kwamba kataa wahuni ni Siri😀😀😀
Tuambie hzo Siri nasi tuzijueKatika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Kama zipi?Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Omba kibali ufanye private prosecution.Mashauri ya jinai yanasimamiwa na DPP, mtu binafsi lazima aombe kibali kufanya private prosecution. Mpaka sasa DPP hajapnyesha kashindwa kumshitaki huyo mb. Waa
Labda siri za fisiEmu, Mahakama haiusiki wapambane wenyeweMahakama itaamua
Wewe ndo utakuwa unatoa siri sisi tusiyoijua km polepole katoa Siri..We si ulisema umesomea LLB unasubiri nini kumpeleka mahakamani?
Kwa hiyo ufisadi, uvujjaji na ukiukwaji wa Katiba ya nchi anaoweka hadharani ni siri??Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
ametoa siri ipi aisee, tujulishe na wengine tujue.Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.