Polepole ashtakiwe kwa kutoa siri za serikali kinyume na sheria ya usalama wa taifa

CCM ya wahuni kutunza Siri za chama ni kutunza Siri za ufisadi na mikataba mibovu!

Najiandaa ku tick October!
 
Kwanza apelekwe Mahakamani, mengine yatajulikana huko, akishinda si atatoka gerezani
Akitoa Siri ya kifo cha jiwe tumjengee sanamu pale posta na tunapoenda atuwekee kodi tuzifungue sisi wacolombia.
 
Atajitetea mahakamani, kwanza apelekwe
Sio kila jambo mahakamani!!
Watu wana uhuru wa kujieleza,
Tunaelekea mahali flani pazuri..tulijengeka kwamba MTU hasemwi hata akikosea..
 
Huko atapewa haki ya kujieleza
 
Ingelikuwa vyema Kama mnelianza kumfunguloa mashtaka na kumfunga CAG, sabbu kila mwaka anatoa Siri za wizi n madudu mnayoyafanya kwenye fedha za uma.
 
Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.

Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Ni siri zipi alifichua?
 
Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.

Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Tusubiri kidogo aingie kwenye target vizuri!
 
Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.

Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Hoja mbovu imeungwa mkono na Lukasi Washamba.
 
Back
Top Bottom