Mahakama ipo chini ya mwenyekiti wa chama.! Fisi muuza supu watu wanatafuta faida ya mbuzi wao.! UpuuziKwanza apelekwe Mahakamani, mengine yatajulikana huko, akishinda si atatoka gerezani
CCM mnakosa akili sana, sijui mmewezaje kuongoza hili taifa miaka mingi hivi.Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Alafu kama Slowslow afungwe je wewe na Lucas mfanyweje?Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
We chawa una kazi kweli, kwani si mkamzingire mumteke mkambake km ilivyo desturi yenuKatika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Cha msingi apelekwe Mahakamani, mengine yatajulikana hukoCCM mnakosa akili sana, sijui mmewezaje kuongoza hili taifa miaka mingi hivi.
POLEPOLE anajua huo mtego na mara nyingi amekuwa anakwepa maswali ya kuzungumzia madaraka na yeye mwenyewe amesema hawezi kusema kwasababu anajua alikula kiapo cha SIRI mbele ya Mungu wake.
Amejikita sana kwenye mambo ya CCM na Historia ya CCM.
Shenzi kweli, hio mbinu mmemkosa labda mtumie Ubabe tu kama kawaida yenu. CUBA hakai FALLA.
Watu zisipowafaa akili zenu, utawadhuru Ujinga wenu. Tulieni Mkaangwe.
Ikifika Epsode yake ya 05 mtatapatapa sanaa.Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Urongo mtupu.Niko full ngwamba, tena nilifanya oral bar examination, sio hizo tuition za Law School
BTW, baadhi ya siri (e.g., siri zinazohusu illegal activities) hazilindwi na sheria. Ndiyo maana kuna whistleblower laws!Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Mambo ya gizani, mnamalizana gizani. Usitegemee sheria hiyo ikubebe kila wakati, halafu utegemee unayemchafua kwa maneno ya uongo ndiye akupe whistleblower protection. Kaulize mashahidi katika kesi ya ICC ya Uhuru Kenyata na RuttoBTW, baadhi ya siri (e.g., siri zinazohusu illegal activities) hazilindwi na sheria. Ndiyo maana kuna whistleblower laws!