Pulchra Animo
Platinum Member
- Jun 16, 2016
- 8,620
- 15,134
Maneno ya uongo aliyosema ni yapi?Mambo ya gizani, mnamalizana gizani. Usitegemee sheria hiyo ikubebe kila wakati, halafu utegemee unayemchafua kwa maneno ya uongo ndiye akupe whistleblower protection. Kaulize mashahidi katika kesi ya ICC ya Uhuru Kenyata na Rutto
Anauliza "hapa ni wapi?"Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Masenior wote wako kwenye bench, wewe kwenye bar unafanya nini au wamekuona kilaza?Roll number yangu hustahili hata kuitaja, very senior member of the bar
Bench wana namba zao, na bar wana namba zao, jipitishe Court of Appeal au High Court ukaangalie magari yao ufute ujinga. Na hata watu wa Bench, kwenye bar lazima apange foleniMasenior wote wako kwenye bench, wewe kwenye bar unafanya nini au wamekuona kilaza?
Hili nalo tako haswaKatika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
MPAKA WEWE UWASHAURI!!!!Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Usijitetee.Bench wana namba zao, na bar wana namba zao, jipitishe Court of Appeal au High Court ukaangalie magari yao ufute ujinga. Na hata watu wa Bench, kwenye bar lazima apange foleni
😁😁😁😁 So wajiandae ki - psychology Au sio !?Press ya nne ni wiki hii.
Wapuuzi sana nyinyi watu.Katika maneno ambayo amekuwa akiongea, Pole pole amekuwa akitoa siri ambazo alipewa au alizifahamu akiwa mtumishi wa umma. Hilo ni kosa kubwa sana.
Nashauri apelekwe Mahakamani kisha afungwe kwa kukiuka sheria hiyo.
Nani anakujua?Jina langu na fani ya sheria ni synonym
Kwa post yako hii nadhani anaye stahili kuonekana ni mb. Waa utakuwa ni wewe! Au unaonaje hilo?Mashauri ya jinai yanasimamiwa na DPP, mtu binafsi lazima aombe kibali kufanya private prosecution. Mpaka sasa DPP hajaonyesha kashindwa kumshitaki huyo mb. Waa
Umewahi kushinda kesi?Nikiweka jina langu halisi JF itapasuka vipande vipande, halafu utakuwa unanisumbua na maswali yako ya first year