Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
umeshamaliza au itaendelea??Katika maisha ya mwanadamu ukishaitwa mwizi hilo jina halitafutika milele hata kama utaenda kutubu na kuacha wizi hilo jina halitafutika,chuki,roho mbaya na kutopendana katika maisha yetu ndo kinachotawala na sijui kama hivi vyote vinasaidia au vinafaida,uzima wa mtu kichwani anaujua Mungu na si mwanadamu.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app