Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
umeshamaliza au itaendelea??Katika maisha ya mwanadamu ukishaitwa mwizi hilo jina halitafutika milele hata kama utaenda kutubu na kuacha wizi hilo jina halitafutika,chuki,roho mbaya na kutopendana katika maisha yetu ndo kinachotawala na sijui kama hivi vyote vinasaidia au vinafaida,uzima wa mtu kichwani anaujua Mungu na si mwanadamu.
Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
Umevaa barakoa au unabwata tu hovyo mitandaoni?
Kwa hiyo huo uganga wenu wa kienyeji, mnataka kufanya Biashara pia?!Hahahaha! Hayo madawa unayosifia yote yametokana na mimea. Huwezi kuwa mbunifu kwa kukopi kopi.
Hakuna anayejionyesha kwenye suala la kupambana na Uviko-19. Kenya chanjo zimefika kitambo lakini bado maambukizi yako pale pale, sasa hapa kinachoendelea ni biashara tu.
Punguani wenzako wako bize wanazika majeneza.Kwa hiyo huo uganga wenu wa kienyeji, mnataka kufanya Biashara pia?!
fanya ivyo chap bwana Humfrey.
Hata sisi tutafika huko,maana naona tunalazimisha kitu ambacho kiuhalisia kwa sasa hakipo!
Ndiyo ana akili timamu labbda wewe ndiyo huna akili timamu. Dawa zote zina viambata vya miti shamba ndiyo maana hata Wazungu wako unaowaabudu walipanda miti ya mikwinini kuel tanga kwa ajili ya kutengeneza dawa ya malaria.sidhani kama huyu mtu ni mzima kichwani.
huu ugoro ulioandika hapa ndiyo umesababisha mkamzika Kinjekitile wenu huko Chato..Ndiyo ana akili timamu labbda wewe ndiyo huna akili timamu. Dawa zote zina viambata vya miti shamba ndiyo maana hata Wazungu wako unaowaabudu walipanda miti ya mikwinini kuel tanga kwa ajili ya kutengeneza dawa ya malaria...
ungekuwa na akili usinge sema hiviNa ndiyo sababu sijasema mioyo yetu!. Inaonekana wewe umevurugwa hadi hujitambui tena.
Na ndiyo sababu sijasema mioyo yetu!. Inaonekana wewe umevurugwa hadi hujitambui tena.
Ujinga. Maandiko gani?Wazalendo wenye maarifa hudumu. Wasio na maarifa hufa. Siyo mimi ninayesema hivyo, ni maandiko ndiyo yanasema hivyo!
pumbavu wewe shetani. mwisho wako ni mbaya kulioko unaowadhihaki maana huna akili wala Mungumtu wenu kaishaoza sasa hivi kwahiyo tulieni. nchi inaendeshwa kistaarabu sasa. Alikula nyungu na mapapai mwishoe ameishia wapi...? Pathetic
Solved globally by who? White people as usual? Stupid black people, no wonder we are still the scam of the earth. You should educate yourself 1st madhara ya covid vaccines kabla hamjaanza kupayuka...nachukia sana ujinga tulionao watu weusi. Information is readily available lakini mamtu ka mapunguani vile vichwani.Polepole Corona is not a local problem, wake up, it's a global problem, and therefore it must be solved globally.
Ujinga ni pamoja na kuuliza "maandiko gani?".Ujinga. Maandiko gani?