Polepole atoa taarifa rasmi ya CCM kuhusu kifo cha Rais Magufuli. Kamati Kuu ya Chama kufanya kikao maalum Jumamosi, Machi 20, 2021

Chakubanga mnafiki huyo na mzandiki mkubwa. Amekunywa uji wa ndele anataka kusema nini. Atulie tumalize
 
W
Hii picha aliyoweka haikufaa kwa kipindi hiki tupo katika majonzi makubwa. Mbona anacheka au amefurahi kitu gani. Tafafhali wahusika waibadili inatuletea taharuki.
Wameshaanza kuchomekeana.
 
Kapoteza sifa ya uongozi na uaminifu akwendeeeee.
 
Hata wale vibaraka wa Lumumba wameshindwa kuweka picha kulingana na muktadha.
Wako busy wanagawAna vyeo na kuchech account zao huko ulaya zitskavyojaa manoti next week. All this should be handled by tha army and acting President and not Polepole. Just to confuse the people. Am for Mwinyi as next President why not, he has cleaned Zanzibar na uozo wots.
 
CCM kuweni makini sana na hawa wafuasi wa genge. Huyu atawavuruga sana, hasa baada ya mipango yao kuelekea kukwama.Mnajua anachoenda kuongea? kamati kuu imekaaa? Anaenda kuongea mawazo ya Bashiru?
 
Vipi huyu Polepole, corona ikae kwa heshima. Tupa mirembe hospital huyo wapime Kama Ana any brain au braun
 
Hata Yesu alipokufa kuna watu walicheka sembuse Magufuli? Hata Mbowe wenu akifa wapo watakaocheka. That's life

Sent from my Android using JamiiForums mobile app
 
Wengine washaanza kupiga Simu kwa waganga kulinda viti vyao. Wachumia tumbo.
 
CCM mkiitwa mataga ni mataga kweli, hiyo picha ya Polepole inaonyesha nyie ni MATAGA.
 
Mh Polepole jivike ujasiri na uwe hodari ni wakati muafaka wa kupeleka ujumbe kuwa uliokufa ni mwili tu wa JPM.
 
Tunawakaribisha Waandishi kwenye press conference saa nane leo, hapa ofisi Kuu za CCM Mkoani Dodoma,

Tafadhali mjulishe na mwenzio usikose mkutano huu muhimu.

Moto wetu: Alipo tupo
 

Attachments

  • IMG_20210318_132940.jpg
    82.1 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…